Makatibu Bunge Maalumu waapishwa
YAHYA Hamis Hamad kutoka Zanzibar ndiye Katibu wa Bunge Maalumu la Katiba. Katibu huyo jana aliapishwa na Rais Jakaya Kikwete kushika wadhifa huo huku akiahidi kufanya kazi yake kwa weledi mkubwa na kwa kufuata kanuni za Bunge hilo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo25 Oct
Makatibu wakuu wateule waapishwa
RAIS Jakaya Kikwete jana amewaapisha makatibu wakuu wanne na naibu katibu wakuu watano pamoja na makatibu tawala wa mikoa, baada ya kufanya uteuzi wao juzi.
9 years ago
Mwananchi01 Jan
Makatibu wakuu na manaibu wao waapishwa Dar
10 years ago
Dewji Blog22 Jul
Balozi Sefue afungua mkutano wa mwaka wa makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu leo mjini Dodoma
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa faragha wa mwaka cha makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu mapema leo mjini Dodoma. Kaulimbiu ya mkutano wa mwaka huu ni “Nafasi na Wajibu wa Watendaji wa Wakuu wa Serikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 na Kuingia Madarakani Serikali ya Awamu ya Tano.”
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Chiku Gallawa akizungumza kumkaribisha mkoani Dodoma Katibu Mkuu Kiongozi, Makatibu Wakuu,...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3z-sGvrcsy8/Va-A_rKCHYI/AAAAAAAHrA4/a-65g-ZwCHY/s72-c/1.jpg)
KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA MAKATIBU WAKUU, MAKATIBU TAWALA WA MIKOA NA NAIBU MAKATIBU WAKUU LEO MJINI DODOMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-3z-sGvrcsy8/Va-A_rKCHYI/AAAAAAAHrA4/a-65g-ZwCHY/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-yH5rTfyjFA8/Va-A_XtUkII/AAAAAAAHrA0/Vdfh-sdz7hg/s640/2.jpg)
11 years ago
Mwananchi15 Mar
Kikwete awaapisha makatibu wa Bunge
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Makatibu wa Bunge wa Madola wakutana Dar
NCHI wanachama wa Umoja wa Makatibu wa Bunge wa nchi za Jumuiya ya Madola Afrika, wamekutana jijini Dar es Salaam kubadilishana uzoefu wa namna ya uendeshaji wa mabunge yao. Akizungumzia...
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
Bunge Maalumu vuluvulu
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wameendelea kuvutana juu ya kutumika kwa kura ya wazi au ya siri katika maamuzi watakayoyafanya wakati wa kupitia rasimu ya Katiba mpya. Mvutano huo...