MAKAZI: JK awakomboa watumishi Mkinga
>Rais Jakaya Kikwete amesikiliza kilio cha watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga cha kukosa makazi kwa kukubali kudhamini nyumba 40 zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) zinunuliwe kwa mkopo na halmashauri hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziSerikali imejipanga kutatua tatizo la makazi kwa watumishi wa umma
Serikali imejipanga kutatua tatizo la makazi kwa watumishi wa umma kwa kujenga nyumba Elfu 10 za gharama nafuu kote nchini.
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Bw.Elius Mwakalinga wakati wa ziara ya waandishi wa habari katika miradi mbalimbali inayotekelezwa na wakala huo jijini Dar es Salaam na Pwani.
Mwakalinga alisema kuwa mradi huo wa nyumba elfu 10 unaogharimu zaidi ya shilingi bilioni 18 unahusisha nyumba...
9 years ago
StarTV06 Jan
Serikali yapanga kujenga makazi ya watumishi ili kuleta Ufanisi Wa Kazi
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula amesema Wizara yake inaangalia uwezekano wa kushirikiana na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI na ile ya Utumishi wa Umma kuhakikisha watumishi wa Umma wanakuwa na nyumba bora ili kuwawezesha kufanya kazi zao kwa ufanisi.
Amesema watumishi wanaoishi vijijini ndiyo wanaoathirika zaidi kutokana na kukosa makazi bora hatua inayowafanya wengi wao kushindwa kumudu kufanya kazi zao na...
10 years ago
MichuziMRADI WA UJENZI WA NYUMBA 10,000 ZA MAKAZI YA WATUMISHI WA SERIKALI NA WA UMMA WAANZA KATIKA MAENEO MBALI MBALI NCHINI
5 years ago
BBCSwahili05 Mar
Makazi duni Nigeria: Makazi duni Lagos yako juu ya maji
10 years ago
Dewji Blog14 Aug
Taasisi ya Watumishi Housing kutumia bilioni 400 kujenga nyumba za watumishi wa serikali
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa akitoa mada kuhusu mkopo wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa kwa watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Agosti 14, 2014.
Na Ismail Ngayonga, MAELEZO-Dar es Salaam.
TAASISI ya Watumishi Housing Company imetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 400 kwa ajili ya ujenzi za watumishi wa...
9 years ago
VijimamboWATUMISHI HOUSING COMPANY, BENKI YA CRDB WATIA SAINI MKATABA WA MIKOPO YA NYUMBA KWA WATUMISHI WA UMMA
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo (kulia), akitia saini mkataba huo. Kutoka kushoto ni Chief Operation Officer wa WHCTZ, Weja Ng'olo, Ofisa Mtendaji Mkuu wa TMRC, Oscar Mgaya, Mkurugenzi wa Watumishi Housing Company, Dk.Fred Msemwa na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Charles Kimei.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-UZldFb3JMoA/VGgOvBBkTBI/AAAAAAAGxko/sTc8Io0ylbQ/s72-c/unnamed.jpg)
Watumishi Housing Company na Kibaha Education Centre waafikiana kushirikiana katika ujenzi wa nyumba za watumishi wa umma
![](http://3.bp.blogspot.com/-UZldFb3JMoA/VGgOvBBkTBI/AAAAAAAGxko/sTc8Io0ylbQ/s1600/unnamed.jpg)
5 years ago
MichuziDKT MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI HOUSE KUWEKA KIPAUMBELE WATUMISHI WA UMMA KUNUNUA NYUMBA ZA TAASISI HIYO
Amesema licha kutoa kipaumbele Kwa watumishi wa umma lakini pia asilimia nyingine lazima iende Kwa watumishi ambao wapo kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.
Dkt Mwanjelwa ameyasema hayo jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kutembelea moja ya miradi...
10 years ago
Habarileo09 Jan
RC asimamisha vigogo 7 Mkinga
MKUU wa mkoa wa Tanga, Magalula Said Magalula amewasimamisha kazi kwa muda usiojulikana watumishi saba wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga, ambao ni wakuu wa Idara na Vitengo.