Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC asimamisha vigogo 7 Mkinga

MKUU wa mkoa wa Tanga, Magalula Said MagalulaMKUU wa mkoa wa Tanga, Magalula Said Magalula amewasimamisha kazi kwa muda usiojulikana watumishi saba wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga, ambao ni wakuu wa Idara na Vitengo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wasira asimamisha vigogo watatu Rubada

Wizara ya Kilimo na Chakula imewasimamisha kazi kwa muda usiojulikana wakurugenzi watatu wa Mamlaka ya Ustawishaji wa Bonde la Mto Rufiji (Rubada), baada ya kukutwa na tuhuma mbalimbali.

 

10 years ago

Mtanzania

Sitta asimamisha vigogo watano TRL

samuelNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta, amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Kipallo Kisamfu na wengine wanne ili kupisha uchunguzi wa kashfa ya uingizaji wa mabehewa feki ya mizigo yaliyoigharimu Serikali Sh bilioni 230.
Viongozi wengine waliosimamishwa ni Mkuu wa Mitandao, Ngosomwile Ngosomiles, Mhasibu Mkuu, Mbaraka Mchopa, Mkaguzi Mkuu wa Ndani, Jasper Kisiranga na Meneja Mkuu wa Manunuzi, Ferdinand Soka.
Alitangaza uamuzi...

 

11 years ago

Mwananchi

Meya asimamisha ujenzi wa ghorofa

Ujenzi wa ghorofa uliokuwa unaendelea mkabala na Benki ya NMB mjini Shinyanga, umesimamishwa kutokana na kudaiwa kujengwa chini ya kiwango.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mwakyembe asimamisha sita TRL

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harisson Mwakyembe, amewasimamisha kazi wafanyakazi zaidi ya sita wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), akiwemo Kaimu Mkurugenzi, Pascal Mafikiri, kwa kuhusika katika uagizaji wa mabehewa mapya...

 

10 years ago

Mwananchi

Msigwa asimamisha shughuli Iringa

>Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa jana alisimamisha kwa muda, shughuli za maelfu ya wakazi wa jimbo hilo ambao walijitokeza kumsikiliza katika mkutano wa hadhara wa kuwashukuru ambao aliutumia kuelezea mafanikio aliyopata katika kipindi cha miaka mitano ikiwamo ya kuwafanya wajue haki zao.

 

10 years ago

GPL

Lunyamila asimamisha usajili Yanga

Winga wa zamani wa Yanga, Edibily Lunyamila. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam
WAKATI Yanga ikipiga hesabu za kusajili baadhi ya wachezaji kutoka timu za Ligi Kuu Bara kuimarisha kikosi chake, winga wa zamani wa timu hiyo, Edibily Lunyamila amesema haina haja kwa klabu hiyo kusajili wachezaji wa ndani. Badala yake Lunyamila akasisitiza, Yanga inapaswa kusajili wachezaji au mchezaji wa kigeni mzoefu ili ifanye vizuri katika Ligi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

MAKAZI: JK awakomboa watumishi Mkinga

>Rais Jakaya Kikwete  amesikiliza kilio cha watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga cha kukosa makazi  kwa kukubali kudhamini nyumba 40 zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) zinunuliwe kwa mkopo na halmashauri hiyo.

 

9 years ago

Global Publishers

Jafo asimamisha kazi Mkurugenzi Mwanza

JAFFONaibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora, Suleiman Jafo.

NAIBU Waziri wa Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora, Suleiman Jafo, amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauli ya Manispaa ya Ilemela, John Wanga kutokana matumizi mabaya ya madaraka. Anaandika Moses Mseti, Mwanza .

 

Naibu huyo wa Tamisemi alitoa agizo hilo wakati akizungumza watumishi wa manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza, ambako amesema mkurugenzi huyo ameshindwa kuhamia katika nyumba hiyo...

 

11 years ago

GPL

Maximo asimamisha usajili wote Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, Nicodemus Jonas na Martha Mboma
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, amesema kuwa kwa sasa hakuna haja ya kuongeza mchezaji mwingine, badala yake anataka kuangalia viwango vya wachezaji alionao kabla ya kutoa tathmini ya kuhitaji usajili au la. Maximo alisema kuwa, ni ngumu kwa sasa kufanya usajili kwa kuwa kuna wachezaji wa kimataifa ambao hajawaona uwanjani, lakini iwapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani