Sitta asimamisha vigogo watano TRL
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta, amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Kipallo Kisamfu na wengine wanne ili kupisha uchunguzi wa kashfa ya uingizaji wa mabehewa feki ya mizigo yaliyoigharimu Serikali Sh bilioni 230.
Viongozi wengine waliosimamishwa ni Mkuu wa Mitandao, Ngosomwile Ngosomiles, Mhasibu Mkuu, Mbaraka Mchopa, Mkaguzi Mkuu wa Ndani, Jasper Kisiranga na Meneja Mkuu wa Manunuzi, Ferdinand Soka.
Alitangaza uamuzi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://1.bp.blogspot.com/-suFd5J5PHgk/VP-sfL5AyMI/AAAAAAAAB6I/NSVP2EcaL1c/s72-c/Sitta.jpg)
Sitta atoa siku 6 kwa vigogo TRL
NA MOHAMMED ISSA WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta, ameipa siku sita Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRL), kuwasilisha taarifa ya mabehewa ya mizigo yanayodaiwa kuanguka ili hatua ziweze kuchukuliwa mara moja.
![](http://1.bp.blogspot.com/-suFd5J5PHgk/VP-sfL5AyMI/AAAAAAAAB6I/NSVP2EcaL1c/s1600/Sitta.jpg)
10 years ago
Mwananchi17 Apr
Sitta ‘atimua’ vigogo TRL, amhamisha Kipande TPA
10 years ago
Tanzania Daima09 Dec
Mwakyembe asimamisha sita TRL
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harisson Mwakyembe, amewasimamisha kazi wafanyakazi zaidi ya sita wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), akiwemo Kaimu Mkurugenzi, Pascal Mafikiri, kwa kuhusika katika uagizaji wa mabehewa mapya...
10 years ago
Habarileo09 Jan
RC asimamisha vigogo 7 Mkinga
MKUU wa mkoa wa Tanga, Magalula Said Magalula amewasimamisha kazi kwa muda usiojulikana watumishi saba wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga, ambao ni wakuu wa Idara na Vitengo.
10 years ago
Mwananchi09 Apr
Wasira asimamisha vigogo watatu Rubada
10 years ago
Habarileo17 Apr
Mabehewa chakavu yang’oa vigogo TRL
SERIKALI imewasimamisha kazi karibu viongozi wote wakuu wa Kampuni ya Reli nchini (TRL), kwa kile kilichoelezwa kuwa hujuma ya mabilioni ya shilingi yaliyotumika kununua mabehewa chakavu.
10 years ago
Habarileo31 May
Vigogo 5 TRL kupandishwa kizimbani kashfa ya mabehewa
MAOFISA watano wa Serikali, wanatarajiwa kupandishwa kizimbani hivi karibuni, kutokana na kashfa ya uagizaji wa mabehewa 274 kutoka India, huku wengine wakitarajiwa kuchukuliwa hatua za kiutawala.
10 years ago
TheCitizen11 Mar
Sitta halts TRL wagon deal
10 years ago
Mwananchi20 Jul
Msigwa asimamisha shughuli Iringa