Wasira asimamisha vigogo watatu Rubada
Wizara ya Kilimo na Chakula imewasimamisha kazi kwa muda usiojulikana wakurugenzi watatu wa Mamlaka ya Ustawishaji wa Bonde la Mto Rufiji (Rubada), baada ya kukutwa na tuhuma mbalimbali.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
Waziri Wasira awasimamisha kazi watendaji watatu wa RUBADA
Akitoa agizo hilo leo mbele ya Waandishi wa Habari, Waziri Wasira aliwataja Watendaji hao kuwa ni Bwana Aloyce L. Masanja – Kaimu Mkurugenzi Mkuu; Bibi Tabu Ndatulu – Mkurugenzi wa...
10 years ago
Mtanzania09 Apr
Vigogo Rubada wasimamishwa

Waziri wa kilimo, chakula na ushirika Steven Wassira
Na Arodia Peter, Dar es Salaam
SERIKALI imewasimamisha kazi vigogo watatu wa Mamlaka ya Ustawishaji Bonde la Mto Rufiji (Rubada) kwa muda usiofahamika.
Vigogo hao wamesimamishwa kazi baada ya kutuhumiwa kwa ubadhilifu wa zaidi ya Sh bilioni 2.3.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, aliwataja vigogo hao ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Aloyce Masanja, Mkurugenzi wa Mipango...
10 years ago
Habarileo09 Apr
Vigogo 3 wasitishwa kazi Rubada
KAIMU Mkurugenzi wa Mamlaka ya Ustawishaji wa Bonde la Mto Rufiji (RUBADA), Aloyce Masanja na wenzake wawili wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha na kujilimbikizia madaraka.
10 years ago
Habarileo09 Jan
RC asimamisha vigogo 7 Mkinga
MKUU wa mkoa wa Tanga, Magalula Said Magalula amewasimamisha kazi kwa muda usiojulikana watumishi saba wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga, ambao ni wakuu wa Idara na Vitengo.
10 years ago
Mtanzania17 Apr
Sitta asimamisha vigogo watano TRL
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta, amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Kipallo Kisamfu na wengine wanne ili kupisha uchunguzi wa kashfa ya uingizaji wa mabehewa feki ya mizigo yaliyoigharimu Serikali Sh bilioni 230.
Viongozi wengine waliosimamishwa ni Mkuu wa Mitandao, Ngosomwile Ngosomiles, Mhasibu Mkuu, Mbaraka Mchopa, Mkaguzi Mkuu wa Ndani, Jasper Kisiranga na Meneja Mkuu wa Manunuzi, Ferdinand Soka.
Alitangaza uamuzi...
10 years ago
Habarileo20 Aug
Vigogo watatu wizara ya afya kizimbani
MAOFISA Utumishi watatu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Sh milioni 3.7.
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Sakata la Escrow vigogo watatu wafikishwa Kisutu
11 years ago
Habarileo02 May
RUBADA wahimizwa kutimiza malengo
WAJUMBE wa Bodi ya Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rufiji (Rubada), wamehimizwa kutimiza malengo yote waliyojiwekea katika muda wao wa miaka mitatu kwa kuongeza ufanisi zaidi wa mamlaka hiyo.
11 years ago
Tanzania Daima02 May
Chiza aipa changamoto Bodi Rubada
WAJUMBE wa Bodi mpya ya Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rufiji (Rubada) wametakiwa kutimiza malengo yote waliyojiwekea katika kipindi chao cha miaka mitatu kwa kuongeza ufanisi zaidi wa...