Sitta atoa siku 6 kwa vigogo TRL
![](http://1.bp.blogspot.com/-suFd5J5PHgk/VP-sfL5AyMI/AAAAAAAAB6I/NSVP2EcaL1c/s72-c/Sitta.jpg)
NA MOHAMMED ISSA WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta, ameipa siku sita Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRL), kuwasilisha taarifa ya mabehewa ya mizigo yanayodaiwa kuanguka ili hatua ziweze kuchukuliwa mara moja. Samuel SittaPia ameitaka Bodi ya TRL, kueleza taratibu zilizotumika kununuliwa mabehewa hayo ambayo yanadaiwa si mapya. Alisema ni lazima watakaobainika kufanya uzembe katika mchakato wa manunuzi ya mabehewa hayo wawajibike. Mbali na hilo, Sitta aliagiza mabehewa 124, ambayo yako...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania17 Apr
Sitta asimamisha vigogo watano TRL
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta, amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Kipallo Kisamfu na wengine wanne ili kupisha uchunguzi wa kashfa ya uingizaji wa mabehewa feki ya mizigo yaliyoigharimu Serikali Sh bilioni 230.
Viongozi wengine waliosimamishwa ni Mkuu wa Mitandao, Ngosomwile Ngosomiles, Mhasibu Mkuu, Mbaraka Mchopa, Mkaguzi Mkuu wa Ndani, Jasper Kisiranga na Meneja Mkuu wa Manunuzi, Ferdinand Soka.
Alitangaza uamuzi...
10 years ago
Mwananchi17 Apr
Sitta ‘atimua’ vigogo TRL, amhamisha Kipande TPA
11 years ago
Mwananchi13 Jun
TRL yasitisha safari za treni kwa siku saba
10 years ago
Habarileo17 Apr
Mabehewa chakavu yang’oa vigogo TRL
SERIKALI imewasimamisha kazi karibu viongozi wote wakuu wa Kampuni ya Reli nchini (TRL), kwa kile kilichoelezwa kuwa hujuma ya mabilioni ya shilingi yaliyotumika kununua mabehewa chakavu.
10 years ago
Habarileo31 May
Vigogo 5 TRL kupandishwa kizimbani kashfa ya mabehewa
MAOFISA watano wa Serikali, wanatarajiwa kupandishwa kizimbani hivi karibuni, kutokana na kashfa ya uagizaji wa mabehewa 274 kutoka India, huku wengine wakitarajiwa kuchukuliwa hatua za kiutawala.
10 years ago
TheCitizen11 Mar
Sitta halts TRL wagon deal
9 years ago
Mtanzania04 Dec
Magufuli atoa siku 7 kwa wapigaji
>> Awaambia wasipolipa kodi ndani ya muda huo wataisoma namba
>> Afichua serikali kutopeleka fedha za maendeleo Wizarani
>> Amuonya mfanyabiashara anayetaka kumili ufukwe wa Coco
Na Kulwa Mzee , Dar es Salaam
RAIS Dk. John Magufuli, ametoa siku saba kwa wafanyabiashara waliopitish makontena yao bandarini bila kulipa kodi, kujisalimisha wenyewe na kulipa fedha hizo za serikali na watakaokamatwa baada ya muda huo watachukuliwa hatua zaidi za kisheria.
Kauli hiyo ya Rais Magufuli, imekuja siku...
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Naibu waziri atoa siku 14 kwa TRA
11 years ago
Mwananchi25 Jun
Lowassa atoa siku saba kwa H/Monduli