Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwakyembe asimamisha sita TRL

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harisson Mwakyembe, amewasimamisha kazi wafanyakazi zaidi ya sita wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), akiwemo Kaimu Mkurugenzi, Pascal Mafikiri, kwa kuhusika katika uagizaji wa mabehewa mapya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Sitta asimamisha vigogo watano TRL

samuelNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta, amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Kipallo Kisamfu na wengine wanne ili kupisha uchunguzi wa kashfa ya uingizaji wa mabehewa feki ya mizigo yaliyoigharimu Serikali Sh bilioni 230.
Viongozi wengine waliosimamishwa ni Mkuu wa Mitandao, Ngosomwile Ngosomiles, Mhasibu Mkuu, Mbaraka Mchopa, Mkaguzi Mkuu wa Ndani, Jasper Kisiranga na Meneja Mkuu wa Manunuzi, Ferdinand Soka.
Alitangaza uamuzi...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwakyembe aapa kuwawajibisha TRL

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ameahidi kuichukulia hatua kali za kisheria na kinidhamu bodi ya zabuni ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) baada ya kubainika ukiukwaji wa taratibu za manunuzi ya mabehewa ya kubebea kokoto.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dk Mwakyembe: Sitamvumilia yeyote TRL

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema hatomvumilia kiongozi yeyote wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), atakayetajwa na kamati ndogo iliyoundwa kuchunguza ufisadi ndani ya kampuni hiyo. Dk Mwakyembe aliteua...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Mwakyembe aanza fagiafagia TRL

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ameagiza kung’olewa kwa baadhi ya vigogo wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) ambao wanatuhumiwa kuhusika katika mchakato wa ununuzi wa mabehewa ya kusafirisha kokoto kutoka India, ambayo yalibainika kuwa mabovu.

 

10 years ago

Habarileo

Mwakyembe akabidhiwa ripoti ya ‘madudu’ TRL

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison MwakyembeKAMATI ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) iliyoundwa na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe imekabidhi ripoti ya uchunguzi iliyofanya huku ikitoa mapendekezo ya hatua za kuchukuliwa ili kampuni hiyo irudi katika hali yake.

 

10 years ago

Habarileo

RC asimamisha vigogo 7 Mkinga

MKUU wa mkoa wa Tanga, Magalula Said MagalulaMKUU wa mkoa wa Tanga, Magalula Said Magalula amewasimamisha kazi kwa muda usiojulikana watumishi saba wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga, ambao ni wakuu wa Idara na Vitengo.

 

10 years ago

Michuzi

Ligi Daraja la Pili kuanza Oktoba 7, kuchezwa makundi manne ya timu sita sita nyumbani na ugenini

Kwa kuzingatia marekebisho ya Kanuni ya Ligi Daraja la Pili (SDL) yaliyofanywa na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) hivi karibuni, SDL kwa msimu wa 2015/2016 itachezwa katika makundi manne ya timu sita sita kwa mtindo wa nyumbani na ugenini.
Timu itakayoongoza kundi itacheza Ligi Daraja la Kwanza (FDL) msimu wa 2016/2017 wakati ya mwisho katika kila kundi itarudi kucheza Ligi ya Mkoa wake kwa msimu wa 2016/2017. Makundi ya SDL ni kama ifuatavyo; Kundi A ni...

 

10 years ago

Habarileo

Mwanafunzi wa darasa la sita abakwa na watu sita

MWANAFUNZI wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13 wa shule ya msingi ya Themi iliyopo jijini Arusha mkoani Arusha hali yake siyo nzuri baada ya kunajisiwa na watu sita.

 

11 years ago

Mwananchi

Meya asimamisha ujenzi wa ghorofa

Ujenzi wa ghorofa uliokuwa unaendelea mkabala na Benki ya NMB mjini Shinyanga, umesimamishwa kutokana na kudaiwa kujengwa chini ya kiwango.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani