Makete:Wananchi waadhimia kufukuzwa mwananchi anayetuhumiwa kuwaingilia wanawake kishirikina
![](https://1.bp.blogspot.com/-a29hiDWqrh8/XkmL55-bHII/AAAAAAALdoQ/6RbKJeFKkiQ2dSUuC8plBuql03V6TsX3gCLcBGAsYHQ/s72-c/images%2B%252810%2529.jpg)
Na Amiri kilagalila,Njombe
Wananchi wa kitongoji cha Ikonda bondeni kijiji cha Ikonda wilayani Makete mkoani Njombe wamemfukuza mkazi aliyehamia katika kitongoji hicho akitokea kijiji cha Ilevelo Bw. Mateso Mbilinyi wakimtuhumu kuwaingilia kimwili kwa njia ya ushirikina baadhi ya wanawake wa kitongoji hicho.
Katika mkutano wa kitongoji hicho uliofanyika kwenye kitongoji hicho wananchi wameelekezea tuhuma kwa Bw. Mateso wakisema amekuwa akiwaingilia kimwili kwa njia za ushirikina huku...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo28 Aug
Anayetuhumiwa kuua wanawake Arusha akamatwa
MTU mmoja ambaye inadaiwa kinara wa kuua na kujeruhi wanawake maarufu, wafanyabiashara na wenye vyeo katika ofisi mbalimbali jijini Arusha, Adamu Mussa (30) mkazi wa Majengo Juu jijini humo ametiwa mbaroni.
10 years ago
Mwananchi16 Feb
NYANZA: Imani za kishirikina zaendelea kuwatesa wananchi Serengeti
11 years ago
Michuzi10 May
Ukosefu wa hakimu wa wilaya ya Makete kwaendelea kuwaumiza wananchi
![](https://2.bp.blogspot.com/--4YATdl6e9c/U2zHmQ1kLHI/AAAAAAAAKPs/mShRNL92g1M/s1600/2014-05-09+10.25.20.jpg)
Na Edwin Moshi wa Globu ya Jamii, Makete Watuhumiwa na walalamikaji mbalimbali wenye kesi zao katika mahakama ya wilaya ya Makete mkoani Njombe wameendelea kuonja tena machungu ya kuahirishiwa kesi zao leo Ijumaa Mei 09, kwa kile kilichoelezwa kuwa hakimu kushindwa kufika
Wakisikika wakiongea mahakamani hapo wakiwa katika makundi makundi, wamesema hawakatai wao kuahirishiwa kesi zao ila zinapoahirishwa mara kwa mara kwa muda mrefu inawaumiza wananchi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Kju_pfIuK0E/XlyFa03P8hI/AAAAAAALgPw/O9nkHsO0C6MHkW85T8UjsghSOuWcR5FFgCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200301-WA0220.jpg)
Makete:Mwingine tena atimuliwa na wananchi kwa tuhuma za ushirikina
Na Amiri kilagalila,Njombe
Wananchi wa kitongoji cha Gongoti kijiji cha Ikonda wilayani Makete mkoa wa Njombe wameazimia kumfukuza Bi. Asteria Sanga ambaye alikuwa akiishi kijijini hapo wakimtuhumu kwa vitendo vya ushirikina
Maamuzi hayo yamefikiwa Februari 28, 2020 ikiwa zimepita takribani wiki mbili tangu wananchi wa kitongoji cha Ikonda bondeni kijijini hapo wamfukuze Bw.Mateso Mbilinyi wakimtuhumu kwa vitendo vya ushirikina.
Katika mkutano wa kitongoji hicho wananchi wamemtuhumu mama...
11 years ago
Michuzi07 Jun
MKUU WA WILAYA YA MAKETE AFUNGA RASMI MAFUNZO YA MADEREVA BODABODA NA WAJASIRIAMALI MAKETE
11 years ago
Dewji Blog17 Jun
DC Makete atoa rai kwa jamii ya Makete kusaidia watoto yatima na waishio kwenye mazingira hatarishi
Mkuu wa wilaya ya Makete mwenye suti nyeusi (aliyesuka nywele) Mh. Josephine Matiro, mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Helen Kijo Bisimba (kulia kwa mkuu wa wilaya) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto walioshiriki maadhimisho hayo.
Na Mwandishi wetu
Imeelezwa kuwa ni jukumu la kila mmoja kuwasaidia watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi, na si kuiachia serikali ama mashirika yasiyo ya kiserikali peke yao kufanya kazi hiyo
Kauli hiyo imetolewa...
11 years ago
Michuzi16 Jun
MKUU WA WILAYA YA MAKETE ATOA RAI KWA JAMII YA MAKETE KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA HATARISHI
11 years ago
GPLMKUU WA WILAYA YA MAKETE ATOA RAI KWA JAMII YA MAKETE KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA HATARISHI
11 years ago
GPLMKUU WA WILAYA YA MAKETE AFUNGA WARSHA YA MAAFISA KILIMO WILAYA YA MAKETE