Makinda, Lukuvi, Lissu uso kwa uso sabasaba
Waheshimiwa, William Lukuvi (kulia), Anna Abdallah (katikati) na Tundu Lisu wakibadilishana mawazo , Bungeni Mjini Dodoma.(Picha na Maktaba).
Na Mwandishi wetu
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, Kesho atakuwa katika banda la ofisi za Bunge ili kutoa maelezo kwa wananchi kuhusiana na namna ya utendaji wa Bunge.
Akizungumza jana katika banda la ofisi za Bunge lililopo viwanja vya maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa, Ofisa Habari wa Bunge, Owen Mwandumbya, alisema kuwa Makinda atambatana na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rage
11 years ago
Michuzi
ankal uso kwa uso na wazee wa kazi jijini london leo


11 years ago
Michuzi
Msondo, Sikinde uso kwa uso Iddi Mosi TCC Club

.jpg)
10 years ago
VijimamboMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rageh
hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE USO KWA USO NA PINTO MWENYEKITI WA TASWA
11 years ago
Dewji Blog28 Apr
Rais Kikwete uso kwa uso na Pinto Mwenyekiti wa Taswa
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), ambaye pia ni mmiliki wa magazeti ya Jambo Leo na Staa Spoti, Juma Pinto wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Ikulu, Dar es Salaam juzi..PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
10 years ago
GPL
ASKARI POLISI WAGONGANA USO KWA USO NA BODABODA, MORO
11 years ago
Michuzi
Ankal uso kwa uso na frida fashion jijini London


