Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKUMI WAUAWA KATIKA HUJUMA YA WABEBA SILAHA NIGERIA

Makumi wauawa katika hujuma ya wabeba silaha NigeriaMakumi ya watu wameuawa katika shambulizi la watu waliojizatiti kwa silaha katika jimbo la Katsina, kaskazini magharibi mwa Nigeria.Sanusi Buba, Kamishna wa Polisi katika jimbo hilo amethibitisha habari za mauaji hayo, lakini amebainisha kuwa vyombo vya usalama vimeanzisha uchunguzi ili kuwatambua na kuwafikisha mbele ya sheria wahusika wa jinai hiyo.Hakuna kundi lolote lililotangaza kuhusika na shambulizi hilo, ingawaje kundi la kigaidi la Boko Haram na magenge mengine ya kitakfiri yenye...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Makumi wauawa katika ghasia za kabla ya uchaguzi Burundi

Serikali ya Burundi imekiri kuua watu 22 ndani ya siku chache zilizopita, kwa tuhuma za kufanya 'makosa' yanayohusishwa na uchaguzi mkuu ujao.

Vyombo vya dola nchini humo vimeripoti kuwa, watu hao waliuawa katika mji mkuu Bujumbura, na kwamba maafisa wawili wa polisi wameuawa pia katika ghasia hizo za kabla ya uchaguzi.

Vyombo vya usalama nchini Burundi vimesema kuwa, vimewatia mbaroni watu sita wanaohusishwa na uhalifu huo wa kabla ya uchaguzi unaotazamiwa kufanyika mwezi Mei mwaka huu....

 

11 years ago

BBCSwahili

52 wauawa katika mashambulizi Nigeria

Afisa mmoja wa usalama amesema waliofanya mashambulizi walitega mabomu katika soko moja katika kijiji cha Kawuri siku ya Jumapili.

 

11 years ago

BBCSwahili

5 wauawa katika mlipuko Nigeria

Watu 5 akiwemo mshambuliaji wauawa katika mlipuko wa bomu katika gari, kaskazini mashariki mwa Nigeria

 

11 years ago

BBCSwahili

10 wauawa katika kijiji nchini Nigeria

Takriban watu kumi wameuawa katika shambulizi la kijiji kimoja kazkazini mashariki mwa Nigeria,

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu 46 wauawa katika mlipuko Nigeria

Zaidi ya watu 46 wameripotiwa kufa katika milipuko miwili iliyotokea jos Nigeria

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu 54 wauawa katika milipuko Nigeria

Watu zaidi ya 54 wameuawa na 90 kujeruhiwa kwenye milipuko mitatu ya mabomu katika mji wa Maiduguri, Nigeria.

 

11 years ago

GPL

TISA WAUAWA KATIKA MLIPUKO NIGERIA

WATU zaidi ya tisa wamepoteza maisha wakati kadhaa wakijeruhiwa katika mlipuko mkubwa uliotokea karibu na kituo cha basi eneo la Nyanya nchini Nigeria!

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 10 wauawa katika mlipuko Nigeria

Ripoti za kaskazini mwa Nigeria zinasema kuwa watu kadhaa wameuawa na mlipuko wa bomu karibu na mashine ya kutoa pesa ya ATM.

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu 70 wauawa katika milipuko Nigeria

Zaidi ya watu 70 wameripotiwa kuuawa katika milipuko miwili mjini Abuja, Nigeria

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani