Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malawi, Tanzania washirikiana msiba wa Balozi

Marehemu Flossie ChiyaongaMAOFISA wa Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wenzao wa Serikali ya Malawi, wameendelea na maandalizi msiba wa ghafla wa Balozi wa Malawi nchini, Flossie Chiyaonga.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TFF YATUMA RAMBIRAMBI KUFUATIA MSIBA WA BALOZI WA MALAWI

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha Balozi wa Malawi nchini, Flossie Gomile-Chidyaonga kilichotokea juzi (Mei 9 mwaka huu) jijini Dar es Salaam.
Balozi Gomile-Chidyaonga ambaye kabla ya kuteuliwa kuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania mwaka 2011, alikuwa Naibu Balozi wa nchi hiyo Uingereza alifikwa na mauti baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Msiba huo ni mkubwa katika fani ya mpira wa miguu nchini kwani, Balozi Gomile-Chidyaonga ndiye aliyefanikisha...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI JAPAN NA BALOZI MALAWI NCHINI TANZANIA, PIA AZUNGUMZA NA GAVANA MKUU WA JIMBO LA SIUSTAN NA BALACHESTAN

Balozi Mpya wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Japan Balozi Batilda Buriani akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika kuaga rasmi baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo na Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkaribisha Balozi Mpya wa Malawi Nchini Tanzania Bibi Hawa Ndolowe aliyefika Ofisini kwake kujitambulisha rasmi.
Balozi Seif akisalimiana na Gavana Mkuu wa Jimbo la Siustan na Balachestan...

 

9 years ago

Vijimambo

Ujumbe wa maafisa kutoka Tanzania wamtembelea Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege, Balozi wa Tanzania nchini Malawi

Ujumbe wa maafisa wanane kutoka Tanzania ulioko nchini Malawi kwa ziara ya kimafunzo umemtembelea Mhe. Victoria R. Mwakasege, Balozi wa Tanzania nchini Malawi, ofisini kwake mjini Lilongwe. Ujumbe huo wenye maafisa kutoka taasisi mbalimbali za Serikali ikiwemo Ofisi ya Rais –Utumishi, Ofisi ya Waziri Mkuu -Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Wizara ya Fedha, Clinton Health Access Initiative (CHAI), na Mpango wa Taifa wa Kuthibiti UKIMWI (National Aids...

 

9 years ago

Vijimambo

Balozi mpya wa Denmark nchini na Balozi mteule wa Tanzania nchini Malawi wakutana na Dk Shein Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi mpya wa Denmark katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Einar Hebogard alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kujitambulisha.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Balozi mpya wa Denmark katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Einar Hebogard alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Balozi wa Malawi afariki dunia Tanzania

Balozi wa Malawi nchini Tanzania Bi Flossie Gomile Chidyaonga amefariki dunia mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAWI, AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO

Tarehe 22 Oktoba, 2015 Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege alipata fursa ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Prof. Arthur Peter Mutharika katika Ikulu ya Kamuzu Palace mjini Lilongwe.Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege akipigiwa nyimbo za taifa za Malawi na Tanzania huku akishuhudiwa na maafisa Ubalozi.Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege akikagua gwaride lililoandaliwa kwa heshima yakeMhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili...

 

11 years ago

GPL

TANZIA: BALOZI WA MALAWI NCHINI TANZANIA AFARIKI DUNIA

Flossy Gomile-Chidyaonga enzi za uhai wake. Balozi wa Malawi hapa nchini Tanzania, Flossy Gomile-Chidyaonga amefariki dunia baada ya kuugua kwa kipindi kifupi. Alikuwa balozi Tanzania tangu mwaka 2011. Rais Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Malawi Bi. Joyce Banda.

 

10 years ago

Vijimambo

Ujumbe wa wanajeshi wamtembelea Balozi wa Tanzania nchini Malawi

Balozi wa Tanzania, nchini Malawi Mhe. Patrick Tsere (watatu kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa wanajeshi sita ukiongozwa na Brigedia Jenerali Ernest Golinoma Mstaafu (wanne kutoka kulia) walipo mtembelea Ofisini kwake wakiwa na Tuzo walizopata baada ya kushiriki mashindano ya mchezo wa gofu yaliyofanyika mwishoni mwa juma, mjini Lilongwe. Ujumbe huo wa wanajeshi kutoka Tanzania ulikuwa umealikwa na Jeshi la Malawi kucheza gofu ikiwa ni maadhimisho ya kuwakumbuka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani