Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malinzi ajitambulisha CAF

Dar es Salaam. Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeahidi kumpa ushirikiano Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi katika kipindi chote cha uongozi utawala wake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Malinzi Ajitambulisha Rasmi Kwa Rais wa CAF, Issa Hayatou Jijini Cairo,Misri Akisindikizwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF Leodegar Tenga

 Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) akimkabidhi zawadi Rais wa CAF, Issa Hayatou Makao Makuu ya CAF jijini Cairo, Misri. Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) akiwa na Rais wa CAF, Issa Hayatou na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF, Leodegar Tenga Makao Makuu ya CAF jijini Cairo, Misri. --- Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemwahidi ushirikiano Rais waShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi. Ahadi hiyo imetolewa juzi (Februari 21 mwaka huu) makao makuu ya...

 

11 years ago

GPL

SHIJA AJITAMBULISHA UKWENI TENA

Na Hamida Hassan
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Deogratius Shija ameamua kuvunja ukimya na kujitambulisha ukweni.
Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, Jumamosi iliyopita, Shija alifunga safari hadi Bagamoyo nyumbani kwa wazazi wa mkewe mtarajiwa, Irene Ndosi na kujitambulisha kama taratibu za Kiafrika zinavyotaka. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Deogratius Shija. Alipotafutwa na paparazi wetu, Shija alikiri kwenda ukweni...

 

10 years ago

Michuzi

MAGUFULI AJITAMBULISHA KWA WANANCHI WA JIJI LA DAR

 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Dar es Salaam kwenye viwanja vya Zakheem Mbagala kwenye mkutano wake wa kujitambulisha kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam ambapo aliahidi kuwatumikia wananchi na kutenda haki.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wakazi wa jiji la Dar es Salaam kabla ya kumkaribisha mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kujitambulisha na kuwasalimia wakazi wa Dar es Salaam.

Katibu ...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI AJITAMBULISHA KWA RAIS WA ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe,Mark Bradley Childress alipofika Ikulu Mjini Unguja Kujitambulisha leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe,Mark Bradley Childress alipofika Ikulu Mjini Unguja Kujitambulisha leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI MPYA WA MAREKANI AJITAMBULISHA KWA MAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib, akimkaribisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzani, Mark Childres, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 9, 2014 kwa mazungumzo na utambulisho wa balozi huyo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania, Mark Childres, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AJITAMBULISHA KWA VIONGOZI WA KAMATI ZA SIASA ZA CCM JIMBO LA MAHONDA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halamshauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Viongozi wa Kamati za Siasa wa Matawi Manne yaliyotoka Donge na Bumbwini kwenye Mikutano tofauti alipokwenda kujitambulisha akifafanua azma yake ya kutaka kugombea Jimbo Jipya la Mahonda nwa nafasi ya Uwakilishi. Mke wa Balozi Seif Mama Asha Suleiman Iddi akiwahamasisha wanawake wenzake kujitokeza kwa wingi wakati wa kupiga kura na kuichagua CCMiendelee kushika Dola na kulinda amani iliyopo nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani