Malinzi atembelea Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba
Na Faustine Ruta, BukobaRais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Jamal Emil Malinzi wa pili kutoka (kushoto) akiongozana na Baadhi ya Viongozi wa Mpira hapa Nchini leo hii Mchana alipowasili katika Uwanja wa Kaitaba unaokarabatiwa kuwekwa Nyasi za Bandia. Bw. Jamal Emil Malinzi pia ndie Mwenyekiti wa chama cha mpira wa Miguu Mkoa wa Kagera (KRFA) alipowasili hapa Bukoba amezungumza na Viongozi wa Soka Mkoani hapa Kagera na baadae.
Rais wa TFF Bw. Jamal Malinzi pia aliambatana na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi24 Jan
RAIS WA TFF JAMAL EMIL MALINZI ATEMBELEA UWANJA WA KAITABA MJINI BUKOBA
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-SkIX1gkn0mQ/Vn-za8DdrRI/AAAAAAAIO18/8a3PEL4hxms/s72-c/1c6458a30aa25a8d77d5a6203077eeb7.jpg)
10 years ago
Michuzi07 Dec
mashindano ya biblia yafanyika uwanja wa kaitaba leo mjini Bukoba
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F4.bp.blogspot.com%2F-Vzd0bdA56Aw%2FVIQaSA9tziI%2FAAAAAAAAYcw%2FCMRTMBGTM78%2Fs1600%2F10576868_783456471702504_1244433619_o.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-7PJ85noR32U%2FVIQaYXaSK9I%2FAAAAAAAAYdY%2F0UXMvsQJAr0%2Fs1600%2F10844541_783456441702507_707133171_o.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-HEK0QDRFAKk/VfbgSFxKdDI/AAAAAAAAc94/ZD0jx_zSt18/s72-c/3.jpg)
TASWIRA ZA UWANJA WA KAITABA UNAVYOENDELEA MPAKA SASA MJINI BUKOBA. KUMALIZIKA KUJENGWA MWEZI DESEMBA 2015, KAGERA SUGAR KUTUMIA UWANJA WA MUSOMA KWA SASA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-HEK0QDRFAKk/VfbgSFxKdDI/AAAAAAAAc94/ZD0jx_zSt18/s640/3.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-X5Wt3S3udSE/VfbhJIrz2BI/AAAAAAAAc-Q/Gr3Ol0vaPjo/s640/5.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GDe0f46dIZA/VfbhJuyupBI/AAAAAAAAc-U/4ESsV93HWu0/s640/6.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-9uKwr4HtDww/VfbhH4OLdkI/AAAAAAAAc-I/QQDK6yIDvSg/s640/7.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-WPd0HA-I9Ck/VfbhqYdprvI/AAAAAAAAc-k/JghbrBbsirU/s640/8.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-QqWb_abmdRI/VfbhqPndAVI/AAAAAAAAc-g/5613cPEm1Zo/s640/9.jpg)
10 years ago
Michuzi13 Jan
UWANJA WA KAITABA MJINI BUKOBA WAANZA KUPIGWA SOP SOP
Rais wa TFF, Jamal Malinzi alisema kuwa kutokana na ukarabati huo tayari Kagera Sugar imeshaomba kutumia Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kwa ajili ya mechi zake za nyumbani. Katika hatua nyingine, Malinzi alisema kutokana na kikao cha Kamati ya Utendaji cha FIFA kilichokutana hivi karibuni kiliweka wazi kila Mwanachama wa FIFA ataendelea kupata dola za kimalekani 600,000...
9 years ago
MichuziUWANJA WA KAITABA BUKOBA WAANZA KUWEKWA NYASI RASMI LEO.
Uwanja wa Kaitaba Bukoba Umeanza kuwekwa nyasi bandia rasmi leo hii jumatatu 2 Novemba, 2015 na kutokana na maelezo ya wawekaji wamesema utachukuwa muda wa siku 14 tu.
Wakaazi wa Mji wa Bukoba na Vitongoji vyake sasa kuanza kushuhudia kipute live bila Chenga katika Uwanja huo wa Kaitaba. Timu ya Kagera Sugar nayo inatarajiwa kurudi katika Uwanja huo ambao uutumia kama Uwanja huo ambapo mpaka sasa tangu msimu uliopita wamekuwa wakitumia Viwanja vingine kwa michezo...
10 years ago
Vijimambo17 Jan
UWANJA WA MPIRA WA KAITABA UKIKARABATIWA MAMBO YA ESCROW HAYO BUKOBA OYEE
11 years ago
Michuzi05 May
MTAALAMU WA NYASI BANDIA KUTOKA FIFA ATUA BUKOBA LEO, APIMA UWANJA WA KAITABA
10 years ago
Michuzi15 Aug
WASANII WATUA BUKOBA TAYARI KWA UFUNGUZI WA FIESTA 2014 LEO UWANJA WA KAITABA
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10