Malkia azindua michezo ya madola
Malkia azindua rasmi michezo ya nchi za jumuiya ya madola huko Glasgow.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tw3I4pGpTrs/U81B9I1IQJI/AAAAAAAF4Zk/gsfvIwWNHE8/s72-c/unnamed+(25).jpg)
Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola yakaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow
![](http://2.bp.blogspot.com/-tw3I4pGpTrs/U81B9I1IQJI/AAAAAAAF4Zk/gsfvIwWNHE8/s1600/unnamed+(25).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-MsQsA4MGUH4/U81CPq1azgI/AAAAAAAF4Zs/Ez3Ku5uJzjo/s1600/unnamed+(27).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-q9fCvirgHPg/U81CR6aWs3I/AAAAAAAF4Z0/TR6-ys7TT3Y/s1600/unnamed+(26).jpg)
10 years ago
BBCSwahili05 Sep
Glasgow kabla ya michezo ya madola
Kabla ya michezo ya Jumuiya ya madola kuanza mjini Galsgow, Scotland,mwezi jana, maandalizi yalionekana kuwa ya hali ya juu
9 years ago
BBCSwahili02 Sep
Michezo ya Jumuiya ya madola kuandaliwa AK
Mji wa Durban nchini Afrika Kusini utakuwa mji wa kwanza barani Afrika kuandaa mashindano ya Jumuiya ya Madola mwaka wa 2022
11 years ago
Mwananchi15 Mar
Tupeleke wanamichezo wengi michezo ya Madola
Tupeleke wanamichezo wengi michezo ya Madola Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo bendera yake itapepea jijini Glasgow, Scotland katika ufunguzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola utakaofanyika Julai 23.
11 years ago
BBCSwahili23 Jul
Michezo ya Jumuiya ya Madola kuanza-Glascow
Mashindano ya Jumuiya ya Madola kufunguliwa rasmi hii leo mjini Glascow, Scotland na Malkia wa Uingereza
11 years ago
Mwananchi15 Feb
Hatuoni maandalizi ya medali michezo ya Madola
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo bendera yake itapepea jijini Glasgow huko Scotland katika ufunguzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola utakaofanyika Julai 23.
11 years ago
Mwananchi01 Feb
Maandalizi yetu michezo ya Madola yanatia shaka
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo bendera yake itapepea jijini Glasgow, Scotland katika ufunguzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola utakaofanyika Julai 23.
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Bingwa wa Michezo ya Jumuiya ya Madola anayeosha magari
Maisha yangu yalianza kuwa magumu baada ya kutolewa amri nifukuzwe kazi ndani ya saa 24,†ndivyo anaanza kusimulia kwa huzuni bingwa wa uzani wa bantam na bondia pekee aliyewahi kuiletea Tanzania medali ya dhahabu ya Michezo ya Jumuiya ya Madola, Michael Yombayomba ‘Golden Boy’ .
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-CmF120L7dSQ/U8zjoFd81yI/AAAAAAAF4Us/H5gePgEsZVk/s72-c/unnamed+(35).jpg)
MH. NKAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA MICHEZO WA JUMUIYA YA MADOLA NCHINI SCOTLAND
![](http://4.bp.blogspot.com/-CmF120L7dSQ/U8zjoFd81yI/AAAAAAAF4Us/H5gePgEsZVk/s1600/unnamed+(35).jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania