Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama anayeugua Ebola atoroshwa

Hali ya tahadhari imetangazwa mjini Freetown baada ya mwanamke aliyeambukizwa Ebola kutoroshwa na jamaa zake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BI HARUSI ATOROSHWA, MAMA MZAZI AHAHA!

Stori: Makongoro Oging’
KAZI sana! Mkazi wa Buguruni, Rukia Nassor amekimbilia Kituo cha Polisi Buguruni jijini Dar kutoa taarifa ya bintiye Saida Said (18) (pichani)kutoroshwa nyumbani kwake siku chache kabla ya ndoa.
Alipofika kituoni hapo, mwanamke huyo alimtaja mtu mmoja kwa jina moja la Shaban kwamba ndiye aliyefanya kitendo hicho. Bi harusi mtarajiwa, Saida Said (18) aliyetoroshwa siku chache kabla ya ndoa. ...

 

9 years ago

Global Publishers

Denti atoroshwa, awekwa kinyumba


Denti
Binti huyo anayedaiwa kuwekwa kinyumba.

Boniphace Ngumije
Dunia imekwisha! Binti mwenye umri wa miaka 14 (jina linahifadhiwa kimaadili), mkazi wa Majohe-Kwawarioba, Gongo la Mboto jijini Dar ambaye ni mwanafunzi (denti) wa kidato cha kwanza katika shule moja ya sekondari iliyopo maeneo hayo, anadaiwa kutoroshwa nyumbani kisha kuwekwa kinyumba.

Kwa mujibu wa mama mzazi wa denti huyo, Edna Zacharia, tukio hilo lilijiri hivi karibuni ambapo juhudi zote alizozifanya kumtafuta mwanaye huyo...

 

11 years ago

GPL

MTOTO ALIYETESWA SIKU 730 ATOROSHWA

Stori: MWANDISHI WETU
YULE binti Melina (15) aliyeandikwa kwenye Gazeti la Uwazi toleo la Juni 17, mwaka huu kwa kichwa cha habari kisemacho; MTOTO ATESWA SIKU 730 amedaiwa kutoroshwa na kupelekwa kusikojulikana. Mtoto Melina akiwa hospitali. Binti huyo aliyekuwa akifanya kazi za ndani ‘hausigeli,’ alidaiwa kuteswa na bosi wake aliyejulikana kwa jina la Yasinta Rwechungura, mkazi wa Boko Magengeni jijini Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani