Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Denti atoroshwa, awekwa kinyumba


Denti
Binti huyo anayedaiwa kuwekwa kinyumba.

Boniphace Ngumije
Dunia imekwisha! Binti mwenye umri wa miaka 14 (jina linahifadhiwa kimaadili), mkazi wa Majohe-Kwawarioba, Gongo la Mboto jijini Dar ambaye ni mwanafunzi (denti) wa kidato cha kwanza katika shule moja ya sekondari iliyopo maeneo hayo, anadaiwa kutoroshwa nyumbani kisha kuwekwa kinyumba.

Kwa mujibu wa mama mzazi wa denti huyo, Edna Zacharia, tukio hilo lilijiri hivi karibuni ambapo juhudi zote alizozifanya kumtafuta mwanaye huyo...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MADAI, DENTI MIAKA 12 AWEKWA KINYUMBA NA TICHA

Mayasa Mariwata
MWANAFUNZI mmoja wa darasa la sita katika shule moja ya msingi iliyopo Ubungo jijini Dar, aliyefahamika kwa jina la Magida mwenye umri wa miaka 12, mkazi wa Kipawa jijini Dar, anadaiwa kuwekwa kinyumba na mwalimu wake aliyetajwa kwa jina moja la Kimweri katika tukio lililofanyika kwenye nyumba mbalimbali za kulala wageni na kumfanya kushindwa kuhudhuria masomo. Magida anayedaiwa kuwekwa kinyumba na ticha. Mama...

 

10 years ago

GPL

KONDA WA DALADALA MATATANI KWA KUISHI KINYUMBA NA DENTI!

Stori: Waandishi wetu
KONDAKTA wa daladala inayopiga kazi njia ya Makumbusho na Gongo la Mboto, jijini Dar aliyetambulika kwa jina moja la Saidi (pichani), ameingia matatani baada ya kudaiwa kuishi kinyumba na mwanafunzi wa kidato cha tatu, tukio lililotokea Magomeni Kagera hivi karibuni, kinyume na sheria za nchi. Kondakta wa daladala Saidi anayedaiwa kuishi kinyumba na mwanafunzi. Kwa mujibu wa chanzo cha habari hizo, denti...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mama anayeugua Ebola atoroshwa

Hali ya tahadhari imetangazwa mjini Freetown baada ya mwanamke aliyeambukizwa Ebola kutoroshwa na jamaa zake.

 

9 years ago

Habarileo

Wanafunzi wawekwa kinyumba

BAADHI wa wanafunzi wa kike wanaosoma katika shule za sekondari mkoani Rukwa, wamejikuta wakiwekwa kinyumba baada ya wazazi na walezi wao kuwapangishia vyumba vijijini na kuwatelekeza.

 

11 years ago

GPL

MTOTO ALIYETESWA SIKU 730 ATOROSHWA

Stori: MWANDISHI WETU
YULE binti Melina (15) aliyeandikwa kwenye Gazeti la Uwazi toleo la Juni 17, mwaka huu kwa kichwa cha habari kisemacho; MTOTO ATESWA SIKU 730 amedaiwa kutoroshwa na kupelekwa kusikojulikana. Mtoto Melina akiwa hospitali. Binti huyo aliyekuwa akifanya kazi za ndani ‘hausigeli,’ alidaiwa kuteswa na bosi wake aliyejulikana kwa jina la Yasinta Rwechungura, mkazi wa Boko Magengeni jijini Dar...

 

10 years ago

GPL

BI HARUSI ATOROSHWA, MAMA MZAZI AHAHA!

Stori: Makongoro Oging’
KAZI sana! Mkazi wa Buguruni, Rukia Nassor amekimbilia Kituo cha Polisi Buguruni jijini Dar kutoa taarifa ya bintiye Saida Said (18) (pichani)kutoroshwa nyumbani kwake siku chache kabla ya ndoa.
Alipofika kituoni hapo, mwanamke huyo alimtaja mtu mmoja kwa jina moja la Shaban kwamba ndiye aliyefanya kitendo hicho. Bi harusi mtarajiwa, Saida Said (18) aliyetoroshwa siku chache kabla ya ndoa. ...

 

11 years ago

Mwananchi

Baba adaiwa kuishi kinyumba na binti zake

Mkazi mmoja wa Same mkoani Kilimanjaro anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuwabaka watoto wake wawili kwa kipindi cha miaka minne mfululizo.

 

10 years ago

Habarileo

Ngeleja awekwa kikaangoni Dar

Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja akiwa na Mwanasheria wake Douglas Mmari wakati wakiingia kwenye Baraza la Maadili, Dar se Salaam jana.MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja, amekiri mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kwamba, aliomba na kupokea Sh milioni 40.4, kutoka kwa James Rugemalira kwa kujitetea, alifanya hivyo kama ilivyo kawaida pia kwa wabunge wengine.

 

11 years ago

Mwananchi

... Samuel Sitta awekwa mtegoni

>Suala la ama kutumia kura ya siri au ya wazi kuamua ibara za Rasimu ya Katiba jana liliuteka upya mjadala wa Kanuni za Bunge la Katiba, huku ikielezwa kuwa limewekwa kama mtego kwa Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta katika kuwania urais.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani