MADAI, DENTI MIAKA 12 AWEKWA KINYUMBA NA TICHA
![](http://api.ning.com:80/files/zXzp3DhECP767huU0dGBYVRbK9gquzode2IIQT7ShKFByO7NogbkAA8YRyNQViOlXpNVMOHdZrWnSfNHSj2V75VCrPaxp0nS/Mamaaa.jpg?width=650)
Mayasa Mariwata MWANAFUNZI mmoja wa darasa la sita katika shule moja ya msingi iliyopo Ubungo jijini Dar, aliyefahamika kwa jina la Magida mwenye umri wa miaka 12, mkazi wa Kipawa jijini Dar, anadaiwa kuwekwa kinyumba na mwalimu wake aliyetajwa kwa jina moja la Kimweri katika tukio lililofanyika kwenye nyumba mbalimbali za kulala wageni na kumfanya kushindwa kuhudhuria masomo. Magida anayedaiwa kuwekwa kinyumba na ticha. Mama...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Denti atoroshwa, awekwa kinyumba
Binti huyo anayedaiwa kuwekwa kinyumba.
Boniphace Ngumije
Dunia imekwisha! Binti mwenye umri wa miaka 14 (jina linahifadhiwa kimaadili), mkazi wa Majohe-Kwawarioba, Gongo la Mboto jijini Dar ambaye ni mwanafunzi (denti) wa kidato cha kwanza katika shule moja ya sekondari iliyopo maeneo hayo, anadaiwa kutoroshwa nyumbani kisha kuwekwa kinyumba.
Kwa mujibu wa mama mzazi wa denti huyo, Edna Zacharia, tukio hilo lilijiri hivi karibuni ambapo juhudi zote alizozifanya kumtafuta mwanaye huyo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rpTO7xq7SsH35d8f*zOo6I80ZVPdfsRb3QHIjHas248NwlspkaF2qO51NrzCcXDF7qWzZDxDUanqftvRvVNaXaIqF52E7Vr0/graduation0400.jpg?width=650)
TICHA, DENTI ANAJIFANYAJE MJANJA?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ytz*1w0-YzADyBt6-K-qAuLPhWhXZ1k1SXXW-VNLGAs4-*5sKb5qZslbMLbrRP3hmDj3vC18MQ71mhry5LVKKSUkmo0PBkJ3/BACKUWAZI.jpg)
KONDA WA DALADALA MATATANI KWA KUISHI KINYUMBA NA DENTI!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJUTnZbIjggh5db*cvnzv88C33-z*nTFZzyYl9OBaApWeqvWyj8kfGD4RmzHn-1JhcVyLy0*0-7mEThV6YHIbQIA3/denti2.jpg)
DENTI MIAKA 12 AOLEWA
9 years ago
Habarileo05 Dec
Wanafunzi wawekwa kinyumba
BAADHI wa wanafunzi wa kike wanaosoma katika shule za sekondari mkoani Rukwa, wamejikuta wakiwekwa kinyumba baada ya wazazi na walezi wao kuwapangishia vyumba vijijini na kuwatelekeza.
11 years ago
Mwananchi09 Jun
Baba adaiwa kuishi kinyumba na binti zake
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8l--NuzR*jGMps4Er9pXqeTJ-y6YNN93AjPr1QY7omOhDiJY9F2FxEtOrQSuRq1Mzo9IZhMONRa8dsY5rHHO-XTq6Qif35DB/aibu.jpg?width=650)
AIBU TICHA WA TRA
9 years ago
StarTV02 Dec
Mwili waharibika kwa madai ya kuhifadhiwa chini kwa  madai ya uzembe Sekou Toure
Mwili wa kijana aliyekuwa akiishi mitaani jijini Mwanza marehemu Baraka Hamisi hatimaye umezikwa baada ya kukosa hifadhi katika jokofu la maiti kwa takribani siku sita katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure
Marehemu Bakari Hamisi mwenye umri wa miaka 22 kijana wa mitaani aliyekuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo alifariki dunia alipokuwa akipelekwa hospitalini hapo na vijana wenzake wa mitaani kwa ajili ya kupata matibabu.
Awali kabla ya kufikwa na mauti, vijana wenzake wa...
11 years ago
Mwananchi09 Feb
tunda la ‘ticha’ Jento THT