KONDA WA DALADALA MATATANI KWA KUISHI KINYUMBA NA DENTI!
![](http://api.ning.com:80/files/Ytz*1w0-YzADyBt6-K-qAuLPhWhXZ1k1SXXW-VNLGAs4-*5sKb5qZslbMLbrRP3hmDj3vC18MQ71mhry5LVKKSUkmo0PBkJ3/BACKUWAZI.jpg)
Stori: Waandishi wetu KONDAKTA wa daladala inayopiga kazi njia ya Makumbusho na Gongo la Mboto, jijini Dar aliyetambulika kwa jina moja la Saidi (pichani), ameingia matatani baada ya kudaiwa kuishi kinyumba na mwanafunzi wa kidato cha tatu, tukio lililotokea Magomeni Kagera hivi karibuni, kinyume na sheria za nchi. Kondakta wa daladala Saidi anayedaiwa kuishi kinyumba na mwanafunzi. Kwa mujibu wa chanzo cha habari hizo, denti...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Denti atoroshwa, awekwa kinyumba
Binti huyo anayedaiwa kuwekwa kinyumba.
Boniphace Ngumije
Dunia imekwisha! Binti mwenye umri wa miaka 14 (jina linahifadhiwa kimaadili), mkazi wa Majohe-Kwawarioba, Gongo la Mboto jijini Dar ambaye ni mwanafunzi (denti) wa kidato cha kwanza katika shule moja ya sekondari iliyopo maeneo hayo, anadaiwa kutoroshwa nyumbani kisha kuwekwa kinyumba.
Kwa mujibu wa mama mzazi wa denti huyo, Edna Zacharia, tukio hilo lilijiri hivi karibuni ambapo juhudi zote alizozifanya kumtafuta mwanaye huyo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zXzp3DhECP767huU0dGBYVRbK9gquzode2IIQT7ShKFByO7NogbkAA8YRyNQViOlXpNVMOHdZrWnSfNHSj2V75VCrPaxp0nS/Mamaaa.jpg?width=650)
MADAI, DENTI MIAKA 12 AWEKWA KINYUMBA NA TICHA
11 years ago
Mwananchi09 Jun
Baba adaiwa kuishi kinyumba na binti zake
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ho7RWhwBiVf*H3ZekAtJMTVsfgexGIsZ5Q9Z0jZmOMgHT-Dn2kZUGi6LPqRI6bYTiyFCXmRBlo31S5NmyZvf0PuBhaMEj*zQ/dent.jpg?width=650)
DENTI AUAWA KWA RISASI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q37MmWHqZUR*0hy8472mujCN22mlG*nSkDxpUjyI6J6NJfn6VkZhGDNDwgMsfMie52hkCYqFQxv*9D3V5mHX-sx/denti.jpg?width=650)
DENTI AFIA KWA HAWARA
9 years ago
Habarileo05 Dec
Wanafunzi wawekwa kinyumba
BAADHI wa wanafunzi wa kike wanaosoma katika shule za sekondari mkoani Rukwa, wamejikuta wakiwekwa kinyumba baada ya wazazi na walezi wao kuwapangishia vyumba vijijini na kuwatelekeza.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOGlnOwPxerIBFV-0wIvVU-nMgnrCY6ghp8lrYV9JwR0Hf0d8neCn085XQWO155Gn4gYagoLnahI*kXnDCHGlWZm8hVP5Tr8/denti.jpg)
DENTI ATESEKA ICU KWA MIEZI 5
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79FAz6LP6Hhhn2uA7i7bbe1wIobmF1d8rXDNQToJBo1ljg89sN6VZbxTAz6Tp1AHeBily3KnYeDfJl4os-fVR3ge3xr3ZfZ1/wivunoma.jpg?width=650)
WIVU ULIVYOMUUA DENTI KWA KISU
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Denti Chuo Kikuu auawa kwa risasi!
Marehemu Mafwiri Mfungo, enzi za uhai wake.
Stori: Gabriel Ng’osha, Dar na Gregory Nyankaira, Mara
VILIO na majonzi vilitawala nyumbani kwa mzee Mfungo Mtaengelwa wakati wa mazishi ya kijana wake, Mafwiri Mfungo, 28, aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), aliyeuawa kwa kupigwa risasi tatu kifuani na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi. Tukio hilo linalowaliza wanachuo wenzake mpaka sasa, lilijiri Desemba 15, mwaka huu, Ubungo Msewe jijini Dar es Salaam.
Jeneza lenye...