DENTI ATESEKA ICU KWA MIEZI 5
![](http://api.ning.com:80/files/MOGlnOwPxerIBFV-0wIvVU-nMgnrCY6ghp8lrYV9JwR0Hf0d8neCn085XQWO155Gn4gYagoLnahI*kXnDCHGlWZm8hVP5Tr8/denti.jpg)
Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa MATESO ya mwanafunzi Norat Rashid (16), anayesoma kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Mtoni Relini, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam ni ya kuhuzunisha na kutia huruma kutokana na ajali ya pikipiki aliyoipata miezi nane iliyopita wakati akienda shuleni. Mwanafunzi Norat Rashid akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) iliyopo Hospitali ya Taifa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi23 May
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q37MmWHqZUR*0hy8472mujCN22mlG*nSkDxpUjyI6J6NJfn6VkZhGDNDwgMsfMie52hkCYqFQxv*9D3V5mHX-sx/denti.jpg?width=650)
DENTI AFIA KWA HAWARA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ho7RWhwBiVf*H3ZekAtJMTVsfgexGIsZ5Q9Z0jZmOMgHT-Dn2kZUGi6LPqRI6bYTiyFCXmRBlo31S5NmyZvf0PuBhaMEj*zQ/dent.jpg?width=650)
DENTI AUAWA KWA RISASI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79FAz6LP6Hhhn2uA7i7bbe1wIobmF1d8rXDNQToJBo1ljg89sN6VZbxTAz6Tp1AHeBily3KnYeDfJl4os-fVR3ge3xr3ZfZ1/wivunoma.jpg?width=650)
WIVU ULIVYOMUUA DENTI KWA KISU
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Denti Chuo Kikuu auawa kwa risasi!
Marehemu Mafwiri Mfungo, enzi za uhai wake.
Stori: Gabriel Ng’osha, Dar na Gregory Nyankaira, Mara
VILIO na majonzi vilitawala nyumbani kwa mzee Mfungo Mtaengelwa wakati wa mazishi ya kijana wake, Mafwiri Mfungo, 28, aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), aliyeuawa kwa kupigwa risasi tatu kifuani na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi. Tukio hilo linalowaliza wanachuo wenzake mpaka sasa, lilijiri Desemba 15, mwaka huu, Ubungo Msewe jijini Dar es Salaam.
Jeneza lenye...
9 years ago
Bongo519 Nov
Ronda Rousey kutopanda ulingoni kwa miezi sita baada ya kupigwa kwa KO na Holly Holm
![ronda](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/ronda-300x194.jpg)
Ronda Rousey atatakiwa kukaa nje ya ulingo kwa siku 180 kutokana na kupigwa kwa knock-out na Holly Holm kwenye UFC 193 weekend hii.
Rousey alipigwa vibaya na Holm aliyewahi kuwa mwana masumbwi wa kulipwa na kuivunja rekodi yake ya kutowahi kupigwa. Alishindwa katika raundi ya pili kwa teke kali la kichwani.
Bondia huyo mwenye miaka 28 alipelekwa hospitali nchini Australia.
Kupitia Instagram baada ya mchezo huo, Rousey aliandika: I just wanted to thank everyone for the love and support. I...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ytz*1w0-YzADyBt6-K-qAuLPhWhXZ1k1SXXW-VNLGAs4-*5sKb5qZslbMLbrRP3hmDj3vC18MQ71mhry5LVKKSUkmo0PBkJ3/BACKUWAZI.jpg)
KONDA WA DALADALA MATATANI KWA KUISHI KINYUMBA NA DENTI!
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-gOL8Kw6AmAU/VDzivY70CoI/AAAAAAADJr8/ZQLRmw6dgus/s72-c/dent5.jpg)
DENTI AJICHOMA KISU! KWA KUCHOSHWA NA USALITI WA MPENZI WAKE
![](http://3.bp.blogspot.com/-gOL8Kw6AmAU/VDzivY70CoI/AAAAAAADJr8/ZQLRmw6dgus/s1600/dent5.jpg)
Stori: Musa Mateja wa GPL
LOO! Mwanafunzi wa Chuo cha T.I.A tawi la mkoani Singida, Moza Kasim Mohemed (20) ambaye ni mkazi wa jijini Dar es Salaam, amejichoma kisu tumboni kwa madai ya kuchoshwa na usaliti wa mpenzi wake aitwaye Joel ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho.
Tukio hilo la kushangaza lilitokea usiku wa kuamkia Oktoba 10, mwaka huu maeneo ya Jovena katika Hosteli za Miami ambapo Moza alikuwa akiishi na mpenzi wake...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vOQMXCMD51-TaEh-JQlrKjfjTMMjYztRZnbr6eYJ6i51MeFODqRsxRdF--kSHXydhH*Ra6czpxZDmTsTyZLEh4yiLLEi6xwV/Zari.gif?width=650)
ZARI ATESEKA SAA 48!