ZARI ATESEKA SAA 48!
![](http://api.ning.com:80/files/vOQMXCMD51-TaEh-JQlrKjfjTMMjYztRZnbr6eYJ6i51MeFODqRsxRdF--kSHXydhH*Ra6czpxZDmTsTyZLEh4yiLLEi6xwV/Zari.gif?width=650)
HALI ni tete! Nyota wa Muziki wa Kizazi Kipya wa Uganda, Zarina Hassan ‘Zari’ (pichani) ambaye ni mpenzi wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ anasemekana kuteseka kwa saa arobaini na nane (siku mbili) akisubiri kujifungua kutoka katika ujauzito wake, Amani lina mchapo wote. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1T5KiMA
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GlhbBvgh3mir8S*2sqVQAQgO3hCuehBtOH6aPeLh1aSWEaFoxacVyXRbwzJ*XWzotvNnuuTgqe*9AZ1sigoRRGIO-lpk150Y/Binti.gif?width=650)
ATESEKA NDANI MIAKA 25
Gladness mallya
MSICHANA Ramla Mohamed (31) mkazi wa Tandika, Dar amejikuta katika wakati mgumu kutokana na kufungiwa ndani kwa miaka 25 baada ya kupooza uti wa mgongo na kusumbuliwa na degedege....Soma zaidi===>http://bit.ly/1StcVTn
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4hNukqhfhE1hGEOvWgFn1c3yvCDFin9oYKmxFJToh03wTOmRQYkC9vNf9V2jA3YX0xAIhxKalhgEh3So7FKqM8-hCmtBqt9L/FRONTAMANI.jpg)
DIAMOND ATESEKA NA PENZI LA WEMA!
Stori: Richard Bukos
Imebumburuka kwamba staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond’ kumbe anateseka na penzi la mwandani wake, Beautiful Onyinye Wema Isaac Sepetu, Amani lina mkanda kamili. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond’ akwa ameshika gauni la mpenzi wake. YATOKANAYO
Kwa muda mrefu kumekuwa na madai kuwa, Diamond amekuwa akiumia na kuvumilia anapoitwa majina mabaya huku...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JgWHSTt60esFFMuqpM4kBHEF*f6AJALfdQplSXdOOYOcWGK9KKnUET*7HZKgiup*WEBQ1Nu*SiWdbn*tjBYkaGGcbI6t1T1R/wastara.jpg?width=650)
WASTARA ATESEKA, ATAMANI KUUA!
Mwandishi wetu Hii ni habari ya kusikitisha! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma anadaiwa kuteswa na kitu kilichoitwa pepo mbaya ambaye humsababishia hasira kali hasa anapokosewa ambapo anapokumbwa na hali hiyo, hujikuta anataka kuua. Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma akisimulia kwa uchungu. TUJIUNGE NA CHANZO Sosi aliye karibu na staa huyo aliyezungumza na Ijumaa mapema wiki hii alinyetisha habari hiyo ambayo mbali na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOGlnOwPxerIBFV-0wIvVU-nMgnrCY6ghp8lrYV9JwR0Hf0d8neCn085XQWO155Gn4gYagoLnahI*kXnDCHGlWZm8hVP5Tr8/denti.jpg)
DENTI ATESEKA ICU KWA MIEZI 5
Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa MATESO ya mwanafunzi Norat Rashid (16), anayesoma kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Mtoni Relini, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam ni ya kuhuzunisha na kutia huruma kutokana na ajali ya pikipiki aliyoipata miezi nane iliyopita wakati akienda shuleni. Mwanafunzi Norat Rashid akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) iliyopo Hospitali ya Taifa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akS33MZV7PVKSCZbB*2fd97wJGTpEpN-zwuMjLUbIlgzqAWUwrKIdFZp5Jga7PpX-puYU8I5OpPx-vKNIujSF7cR/MADAM.jpg)
MADAM RITA ATESEKA SIKU 365
Stori: Musa mateja MATESO! Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark Productions inayoendesha shindano la kusaka vipaji vya muziki, Bongo Star Search (BSS), Rita Paulsen ‘Madam’ amesimulia mateso aliyopitia takriban mwaka sasa (siku 365) baada kuvunjika mguu mwaka jana alipopata ajali ya gari katikati ya Jiji la Dar. Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark Productions, Rita Paulsen ‘Madam’. Akizungumza na...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/P0y0X6852Mc/default.jpg)
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s72-c/Africanjam2.jpg)
TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI
Tweet
![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s1600/Africanjam2.jpg)
Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...
![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s1600/Africanjam2.jpg)
Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...
10 years ago
Vijimambo08 Jan
DIAMOND APEWA OFA YA $40,000 AMWACHE ZARI, NJEMBA LAPOST SCREENSHOT YA ZARI AKILIOMBA MKWANJA!
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/10888399_10205933029869831_1858120712732123108_n.jpg)
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/1b.jpg)
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/1a.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LGdhCycw6D-1gN84Q*a9pe8D6Y4-tccGfAdEJclINgIfhUYoANVczSZNNy0*uX3TjokZAzAy0z3Z25sgEUgmsDSPyPLJvVlo/Mtotoi.gif?width=650)
MTOTO ATESEKA, ASEMA: ‘WA KUNIOKOA NI MUNGU TU’
Na Imelda Mtema NIkweli hujafa hujaumbika! Leo unaweza kuamka mzima lakini kesho ukafika ukiwa huwezi! Unaweza kusema ‘mi naumwa’ kumbe hujawaona wagonjwa wenyewe. Ukishawaona, utagundua kuwa, ugonjwa wako hahuitaji tabibu. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1Mvhywq
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania