Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ATESEKA NDANI MIAKA 25

Gladness mallya MSICHANA Ramla Mohamed (31) mkazi wa Tandika, Dar amejikuta katika wakati mgumu kutokana na kufungiwa ndani kwa miaka 25 baada ya kupooza uti wa mgongo na kusumbuliwa na degedege....Soma zaidi===>http://bit.ly/1StcVTn

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ATESEKA KITANDANI MIAKA MITATU NI BAADA YA KUPEWA TAARIFA YA KIFO CHA BABA YAKE

Shani Ramadhani na Denis Mtima, Dar es Salaam INASIKITISHA! Johanitha Robert Mulokozi (31) amekuwa kitandani kwa miaka mitatu kutokana na kuugua ugonjwa wa kupooza mwili mzima.Mama huyo mwenye mtoto mmoja amekuwa akisumbuka na ugonjwa huo uliomfanya akose raha licha ya kupata matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Johanitha Robert Mulokozi  amekaa kitandani kwa miaka mitatu kutokana na kuugua ugonjwa wa kupooza...

 

10 years ago

GPL

ZARI ATESEKA SAA 48!

HALI ni tete! Nyota wa Muziki wa Kizazi Kipya wa Uganda, Zarina Hassan ‘Zari’ (pichani) ambaye ni mpenzi wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ anasemekana kuteseka kwa saa arobaini na nane (siku mbili) akisubiri kujifungua kutoka katika ujauzito wake, Amani lina mchapo wote.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1T5KiMA

 

10 years ago

GPL

DIAMOND ATESEKA NA PENZI LA WEMA!

Stori: Richard Bukos
Imebumburuka kwamba staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond’ kumbe anateseka na penzi la mwandani wake, Beautiful Onyinye Wema Isaac Sepetu, Amani lina mkanda kamili. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond’ akwa ameshika gauni la mpenzi wake. YATOKANAYO
Kwa muda mrefu kumekuwa na madai kuwa, Diamond amekuwa akiumia na kuvumilia anapoitwa majina mabaya huku...

 

9 years ago

GPL

WASTARA ATESEKA, ATAMANI KUUA!

Mwandishi wetu Hii ni habari ya kusikitisha! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma anadaiwa kuteswa na kitu kilichoitwa pepo mbaya ambaye humsababishia hasira kali hasa anapokosewa ambapo anapokumbwa na hali hiyo, hujikuta anataka kuua. Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma akisimulia kwa uchungu. TUJIUNGE NA CHANZO Sosi aliye karibu na staa huyo aliyezungumza na Ijumaa mapema wiki hii alinyetisha habari hiyo ambayo mbali na...

 

11 years ago

GPL

DENTI ATESEKA ICU KWA MIEZI 5

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa MATESO ya mwanafunzi Norat Rashid (16), anayesoma kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Mtoni Relini, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam ni ya kuhuzunisha na kutia huruma kutokana na ajali ya pikipiki aliyoipata miezi nane iliyopita wakati akienda shuleni. Mwanafunzi Norat Rashid akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) iliyopo Hospitali ya Taifa...

 

11 years ago

GPL

MADAM RITA ATESEKA SIKU 365

Stori:  Musa mateja MATESO! Mkurugenzi wa Kampuni ya  Benchmark Productions inayoendesha shindano la kusaka vipaji vya muziki, Bongo Star Search (BSS), Rita Paulsen ‘Madam’ amesimulia mateso aliyopitia takriban mwaka sasa (siku 365) baada kuvunjika mguu mwaka jana alipopata ajali ya gari katikati ya Jiji la Dar. Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark Productions, Rita Paulsen ‘Madam’. Akizungumza na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania ndani ya miaka kumi

Rais wa Tanzania Jakaya kikwete amelivunja rasmi bunge ,kama ishara ya kukamilika kwa awamu ya nne ya uongozi nchini Tanzania .

 

9 years ago

GPL

MTOTO ATESEKA, ASEMA: ‘WA KUNIOKOA NI MUNGU TU’

Na Imelda Mtema NIkweli hujafa hujaumbika! Leo unaweza kuamka mzima lakini kesho ukafika ukiwa huwezi! Unaweza kusema ‘mi naumwa’ kumbe hujawaona wagonjwa wenyewe. Ukishawaona, utagundua kuwa, ugonjwa wako hahuitaji tabibu. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1Mvhywq

 

10 years ago

Habarileo

Aliyembaka mfanyakazi wa ndani jela miaka 30

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani imemhukumu kwenda jela miaka 30 mlinzi wa Shule ya Sekondari ya Mbwawa Steven Solomon (29) kwa kosa la kumbaka mfanyakazi wake wa nyumbani mwenye umri wa miaka 16.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani