tunda la ‘ticha’ Jento THT
Wahenga walisema: “Subira yavuta heri.â€Ukweli wa kauli hiyo ya Kiswahili umedhihirika miongoni mwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya maarufu Bongo Fleva kwani wapo waliovumilia wakapata mafanikio, ingawa pia wapo waliokata tamaa wakishindwa kusubiri kwa kutaka mafanikio ya haraka.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLAIBU TICHA WA TRA
Stori: Waandishi Wetu
HII ni aibu kubwa! Mhadhiri wa Chuo cha Kodi ya Mapato Tanzania, Richard Donati amezuliwa timbwili la aina yake nyumbani kwake, hali iliyosababisha mtaa kufungwa, kisa kikielezwa ni kukutwa na mchumba wa mtu aliyetajwa kwa jina moja la Aisha. Mwenye mchumba (kushoto) akitulizwa baada ya kupandisha hasira. HABARI KAMILI
Sakata hilo lilitokea mchana kweupe, Ijumaa iliyopita, Sinza – Kwa Remmy...
11 years ago
GPLTICHA, DENTI ANAJIFANYAJE MJANJA?
Oyaa, mambo niaje madenti?
Ni wikiendi nyingine tena tunakutana mitaa hii kwa ajili ya kupeana mbili tatu za kushtuana wakati huu ambao wote tunalisongesha gurudumu la maendeleo ya taifa letu. Kuna watu wengine wanafikiri wanafunzi hawana mchango kwa taifa hili, siyo kweli. Madenti wana mchango mkubwa sana, kuanzia wale wa msingi, sekondari, vyuo hadi elimu ya juu, lakini bahati mbaya wengi wao huwa hawajijui kama wana kitu...
10 years ago
GPLMADAI, DENTI MIAKA 12 AWEKWA KINYUMBA NA TICHA
Mayasa Mariwata
MWANAFUNZI mmoja wa darasa la sita katika shule moja ya msingi iliyopo Ubungo jijini Dar, aliyefahamika kwa jina la Magida mwenye umri wa miaka 12, mkazi wa Kipawa jijini Dar, anadaiwa kuwekwa kinyumba na mwalimu wake aliyetajwa kwa jina moja la Kimweri katika tukio lililofanyika kwenye nyumba mbalimbali za kulala wageni na kumfanya kushindwa kuhudhuria masomo. Magida anayedaiwa kuwekwa kinyumba na ticha. Mama...
9 years ago
GPLTICHA MJAMZITO ACHOMOKEA DIRISHANI KWENYE DALADALA
CHEZEA kifo wewe! Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwere ya mjini hapa ambaye jina halikupatikana mara moja, akiwa mjamzito, amenusurika kifo baada ya daladala walilopanda kutumbukia mtaroni na yeye kuchomokea kwenye dirishani. Gari likiwa limepinduka baada ya ajali hiyo. Tukio hilo lilijiri jirani kabisa na eneo la Kanisa la KKKT ambapo mashuhuda walidai kwamba tukio hilo lilitokea baada ya dereva wa daladala aliyefahamika kwa jina...
11 years ago
GPLPAMOJA NA MBWEMBWE NYINGI... TICHA AVUNJA NDOA YA MTU
Stori: Haruni Sanchawa
RB namba STK//RB/4457/2014 -KUTUMIA LUGHA YA MATUSI inawahusu wanandoa waliodumu kwa zaidi ya miaka 10, waliofunga ndoa kwa mbwembwe nyingi, Nyange na Ruth kisa kikielezwa kuwa ni ticha anayedaiwa kuvunja utatu huo mtakatifu, Ijumaa lina kisa na mkasa. Ruth na Nyange wakati wa harusi. Habari zilieleza kwamba wahusika ni wakazi wa Pugu, Dar.
Kwa mujibu wa habari za mtaani wanakoishi wawili hao...
10 years ago
GPLAIBU! TICHA MBARONI KWA KUMUUZISHA MTOTO MAYAI MUDA WA SHULE
Deogratius Mongela na Chande Abdallah
MATUKIO ya mateso, unyanyasaji na utumwa kwa watoto yanashika kasi nchini! Safari hii mwalimu wa shule moja ya msingi iliyopo Mburahati jijini Dar aliyetajwa kwa jina moja la Lucy ametia aibu baada ya kutiwa mbaroni katika Kituo cha Polisi cha Magomeni, Dar akituhumiwa kumtumikisha mtoto mwenye umri wa miaka 12 aitwaye Sakina kwa kumuuzisha mayai ya kuchemsha na soseji. Mwalimu huyo...
11 years ago
GPLLINAH: KWAHERI THT
Stori: SHAKOOR jONGO
Mwanamuziki ambaye ni zao la Jumba la Vipaji Tanzania ‘THT’ Estalina Sanga ‘Linah’ ameaga rasmi jumba hilo ambapo inadaiwa kwa sasa atakuwa chini ya Kampuni ya No Fake Zone ‘NFZ’ inayoendesha shughuli zake nchini Afrika Kusini. Mwanamuziki ambaye ni zao la Jumba la Vipaji Tanzania ‘THT’ Estalina Sanga ‘Linah’ Akizungumza na Ijumaa msemaji wa...
10 years ago
GPL11 years ago
GPLTID, RECHO THT WADAIWA NI WAPENZI
MALOVEE? Bosi wa Top Band, Khaleed Mohamed ‘TID’ au ‘Mzee Mnyama’ na mtoto mzuri kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Winfrida Josephat ‘Recho THT’, wanadaiwa kuwa na uhusiano uliotafsiriwa ni wa kimapenzi, Ijumaa Wikienda limeinusa. Mtoto mzuri kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Winfrida Josephat ‘Recho THT’ Kwa mujibu wa chanzo makini, wawili hao wamekuwa wakionekana...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania