Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LINAH: KWAHERI THT

Stori: SHAKOOR jONGO
Mwanamuziki ambaye ni zao la Jumba la Vipaji Tanzania ‘THT’ Estalina Sanga ‘Linah’ ameaga rasmi jumba hilo ambapo inadaiwa kwa sasa atakuwa chini ya Kampuni ya No Fake Zone ‘NFZ’ inayoendesha shughuli zake nchini Afrika Kusini. Mwanamuziki ambaye ni zao la Jumba la Vipaji Tanzania ‘THT’ Estalina Sanga ‘Linah’ Akizungumza na Ijumaa msemaji wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

TheCitizen

COVER: Linah: The time was right to leave THT

>In 2009 when she was unveiled at the Tanzania House of Talent (THT) there was a consensus among the industry pundits that a diva had been discovered.

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Linah alivyoagwa rasmi na THT na kuzindua video yake

Jana July 16 ilikuwa ni siku muhimu sana kwa Msanii Linah Sanga ambaye aliungana na wadau mbalimbali wa burudani waliokusanyika katika ofisi za Tanzania House of Talent (THT) kupata futari, na baada ya hapo THT ilitumia nafasi hiyo kumuaga rasmi Linah ambaye amepata uongozi mpya unaoitwa No Fake Zone Entertainment. Linah pia alizindua video na […]

 

11 years ago

Michuzi

THT YAANDAA HAFLA YA KUMUAGA MSANII LINAH,AZINDUA VIDEO MPYA MBELE YA MASUPASTAA KIBAO JIJINI DAR

  Mkurugenzi wa Tanzania House Of Talent (THT) Ruge Mutahaba akifafanua jambo mbele ya wageni waalikwa mbalimbali wakiwemo  wanahabari,wadau na wasanii wa filamu na muziki,katika hafla ya kumuaga msanii Linah jana Julai 16, 2014 kutoka kwao na kuelekea kampuni ya No Fake Zone (NFZ) ambao ndiyo wanaanza kumsimamia msanii huyo pamoja na kazi zake.Linah pia alizindua video yake mpya chini ya kampuni NFZ iitwayo OLe Themba.MKurugenzi wa Kampuni ya NO FAKE ZONE,Abby akizungumza jambo mbele ...

 

10 years ago

GPL

Kwaheri phiri

Kocha Mkuu wa Simba Mzambia, Patrick Phiri. Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Simba Mzambia, Patrick Phiri, jana alioondoka nchini kuelekea Zambia kwa mapumziko ya wiki moja, baada ya Ligi Kuu Bara kusimama kupisha michuano ya Cecafa iliyopangwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu. Mzambia huyo, anarejea kwao baada ya kukabidhi ripoti ya raundi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara kwa Kamati ya Utendaji ya Simba, iliyokutana hivi karibuni na...

 

11 years ago

Habarileo

Kwaheri Madiba

Mjane wa Rais wa kwanza Mwafrika nchini Afrika Kusini, Nelson Mandela, Graca Machel akimuaga mume wake. Mwili wa shujaa huyo wa dunia ulilazwa katika jengo la serikali la Union kutoa nafasi kwa wananchi kumuaga mpendwa wao. (Picha na AFP).MAELFU ya Waafrika Kusini jana walijitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Rais wa Kwanza Mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela katika majengo ya Serikali ya Union jijini Pretoria.

Wengine walijipanga barabarani kutoa heshima zao wakati mwili ukipitishwa kutoka hospitalini ulikohifadhiwa na kupelekwa katika majengo ya Union na jioni kurudishwa hospitalini.

Mwili huo ulipelekwa hapo jana asubuhi ili kutoa fursa kwa wananchi kuuaga rasmi kabla ya kusafirishwa kwenda kijijini kwao...

 

9 years ago

Raia Mwema

Kwaheri 2015

HILI ni toleo la mwisho la gazeti la Raia Mwema kwa mwaka huu wa 2015.

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Mwananchi

tunda la ‘ticha’ Jento THT

Wahenga walisema: “Subira yavuta heri.”Ukweli wa kauli hiyo ya Kiswahili umedhihirika miongoni mwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya maarufu Bongo Fleva kwani wapo waliovumilia wakapata mafanikio, ingawa pia wapo waliokata tamaa wakishindwa kusubiri kwa kutaka mafanikio ya haraka.

 

10 years ago

GPL

THT WANATIMIZA MIAKA 10 LEO

Esterlina Sanga ‘Linah’. Mwasiti Almasi. Rachael Mapenzi.…

 

9 years ago

Mwananchi

Kwaheri JK, karibu JPM

Watanzania leo watashuhudia mabadiliko ya uongozi wakati Rais Jakaya Kikwete ataondoka rasmi madarakani kumpisha rasmi Dk John Magufuli kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa na kibarua kigumu cha kufanya mabadiliko yatakayopunguza ugumu wa maisha kwa wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani