Kwaheri phiri
![](http://api.ning.com:80/files/dM6a4AYRwJNOHnEFedmYb*i-NgiihTt1*X9s-EWat-r9f5PNDaYuVahjq6KnGf4rqoGuMfhzYuPzFiBNVwberYy1Y8aO9cuR/phili.jpg)
Kocha Mkuu wa Simba Mzambia, Patrick Phiri. Na Wilbert Molandi KOCHA Mkuu wa Simba Mzambia, Patrick Phiri, jana alioondoka nchini kuelekea Zambia kwa mapumziko ya wiki moja, baada ya Ligi Kuu Bara kusimama kupisha michuano ya Cecafa iliyopangwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu. Mzambia huyo, anarejea kwao baada ya kukabidhi ripoti ya raundi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara kwa Kamati ya Utendaji ya Simba, iliyokutana hivi karibuni na...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema30 Dec
11 years ago
Habarileo12 Dec
Kwaheri Madiba
MAELFU ya Waafrika Kusini jana walijitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Rais wa Kwanza Mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela katika majengo ya Serikali ya Union jijini Pretoria.
Wengine walijipanga barabarani kutoa heshima zao wakati mwili ukipitishwa kutoka hospitalini ulikohifadhiwa na kupelekwa katika majengo ya Union na jioni kurudishwa hospitalini.
Mwili huo ulipelekwa hapo jana asubuhi ili kutoa fursa kwa wananchi kuuaga rasmi kabla ya kusafirishwa kwenda kijijini kwao...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LMZbfjT5Z7N3fV0znBcAXSS5XRWKCk87er3RN1C655ddsjCo8ey7Aa8ZLMLa-XO9Uy5OZNnS77HPME1nQUJmT2b5ZOsjapXn/linah.jpg)
LINAH: KWAHERI THT
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Kwaheri Alfredo di Stefano
NGULI wa soka wa Uingereza, Bobby Charlton alikaririwa akisema: “Ni nani huyo? Anachukua mpira kutoka kwa kipa, anawaambia mabeki pembeni nini cha kufanya, mahali popote alipo katika uwanja akicheza, yupo...
9 years ago
Mwananchi05 Nov
Kwaheri JK, karibu JPM
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Kwaheri Maalim Gurumo
NGULI wa muziki wa dansi nchini, Muhidin Maalim Gurumo ‘Mjomba’, amefariki dunia jana katika hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akiwa na umri wa miaka 73. Gurumo, mwanamuziki mwenye historia ndefu...
9 years ago
Mwananchi18 Sep
Kwaheri Rais wetu
11 years ago
BBCSwahili15 Dec
Kwaheri Tata Mandela
9 years ago
Habarileo29 Dec
Niyonzima kwaheri Yanga
KLABU ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na mchezaji wake Haruna Niyonzima baada ya kudaiwa kuvunja sheria na taratibu za muajiri wake. Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga Jerry Muro kwa vyombo vya habari jana, Niyonzima pia atatakiwa kuilipa klabu hiyo dola za Marekani 71,175 kufidia gharama ambazo imezitumia katika kumuongezea mkataba wake mpaka mwaka 2017.