Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwaheri Alfredo di Stefano

NGULI wa soka wa Uingereza, Bobby Charlton alikaririwa akisema: “Ni nani huyo? Anachukua mpira kutoka kwa kipa, anawaambia mabeki pembeni nini cha kufanya, mahali popote alipo katika uwanja akicheza, yupo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Mwanasoka Alfredo apigwa risasi na kufariki

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya soka ya El Salvador Alfredo Pacheco ameuawa kwa kupigwa risasi.

Taarifa zilizotolewa na serikali za El Salvador zinabainisha kuwa Pacheco amekutwa na mkasa huo baada ya mtu mmoja kumfyatulia risasi akiwa kwenye kituo cha mafuta katika mji wa Santa Ana, ambao upo umbali wa kilometa 76 Magharibi mwa mji wa San Salvador.

Uongozi wa jeshi la Polisi umesema watu kadhaa wamejeruhiwa katika shambulizi hilo dhidi ya Mlinzi huyo wa zamani wa El Salvador ambaye...

 

11 years ago

Habarileo

Chuo Kikuu cha Stefano Moshi chakabidhiwa majengo

CHUO Kikuu Kishiriki cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) cha mkoani Kilimanjaro, kimekabidhiwa majengo ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa mkataba wa miaka mitano, lengo likiwa ni kuboresha maendeleo ya elimu nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

MKURUGENZI MTENDAJI WA TBL AENDESHA MHADHARA CHUO KIKUU CHA STEFANO MOSHI

 Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Usimamizi wa Biashara na Elimu wa Chuo Kikuu cha Stefano Moshi (SMMUCO),Tawi la Moshi Mjini wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na SABMiller East Africa, Roberto Jarrin alipokuwa akitoa mhadhara wa masuala ya biashara na masoko chuoni hapo, mwishoni mwa wiki. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na SABMiller East Africa, Roberto Jarrin (kushoto) akibadilishana mawazo na Afisa Mipango wa Chuo Kikuu cha Stefano...

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 06.04.2020: Harry Kane, Jadon Sancho, Alfredo Morelos, Alexis Sanchez

Mshambuliaji wa Borussia Dortmund na England Jadon Sancho, 20, amekataa uhamisho wa kuelekea Manchester United mwisho wa msimu huu

 

9 years ago

Raia Mwema

Kwaheri 2015

HILI ni toleo la mwisho la gazeti la Raia Mwema kwa mwaka huu wa 2015.

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

GPL

Kwaheri phiri

Kocha Mkuu wa Simba Mzambia, Patrick Phiri. Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Simba Mzambia, Patrick Phiri, jana alioondoka nchini kuelekea Zambia kwa mapumziko ya wiki moja, baada ya Ligi Kuu Bara kusimama kupisha michuano ya Cecafa iliyopangwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu. Mzambia huyo, anarejea kwao baada ya kukabidhi ripoti ya raundi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara kwa Kamati ya Utendaji ya Simba, iliyokutana hivi karibuni na...

 

11 years ago

Habarileo

Kwaheri Madiba

Mjane wa Rais wa kwanza Mwafrika nchini Afrika Kusini, Nelson Mandela, Graca Machel akimuaga mume wake. Mwili wa shujaa huyo wa dunia ulilazwa katika jengo la serikali la Union kutoa nafasi kwa wananchi kumuaga mpendwa wao. (Picha na AFP).MAELFU ya Waafrika Kusini jana walijitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Rais wa Kwanza Mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela katika majengo ya Serikali ya Union jijini Pretoria.

Wengine walijipanga barabarani kutoa heshima zao wakati mwili ukipitishwa kutoka hospitalini ulikohifadhiwa na kupelekwa katika majengo ya Union na jioni kurudishwa hospitalini.

Mwili huo ulipelekwa hapo jana asubuhi ili kutoa fursa kwa wananchi kuuaga rasmi kabla ya kusafirishwa kwenda kijijini kwao...

 

10 years ago

Mwananchi

Kwaheri Rais wetu

Hodi naja kilingeni, nitokeze hadharani, Kusema yalo moyoni, kwa ndugu zangu nchini, Chatutoka cha thamani, mwendo wake kijijini, Kwaheri Rais wetu, Jakaya tunakuaga.

 

9 years ago

Mwananchi

Kwaheri JK, karibu JPM

Watanzania leo watashuhudia mabadiliko ya uongozi wakati Rais Jakaya Kikwete ataondoka rasmi madarakani kumpisha rasmi Dk John Magufuli kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa na kibarua kigumu cha kufanya mabadiliko yatakayopunguza ugumu wa maisha kwa wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani