Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwaheri Rais wetu

Hodi naja kilingeni, nitokeze hadharani, Kusema yalo moyoni, kwa ndugu zangu nchini, Chatutoka cha thamani, mwendo wake kijijini, Kwaheri Rais wetu, Jakaya tunakuaga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

HAPPY BIRTHDAY RAIS WETU JAKAYA MRISHO KIKWETE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye anamaliza kipindi cha utawala wake wa miaka kumi amefanya mambo mengi ya maendeleo na kustawisha hali ya uchumi na jamii ya Tanzania kadiri alivyoweza. Kama binadamu viongozi wengine, ameffanya juu chini kutekeleza alichohiahidi kwa wananachiwake tangu aingia mdarakani mwaka 2005. Baadhi ya mambo aliyoyafanya ni...

 

5 years ago

Michuzi

MREMA: RAIS MAGUFULI NDIYE MGOMBEA WETU WA URAIS UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA



Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augistino Lyatonga Mrema akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka huu 2020.

*********************************

Na Mwandishi Wetu, MAELEZO,
DAR ES SALAAM

MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour Party, Augustino Mrema amesema chama hicho kinaendelea na msimamo wake wa kumuunga mkono, Rais Dkt. John Magufuli kuwa mgombea wake wa nafasi ya...

 

11 years ago

Habarileo

Kwaheri Madiba

Mjane wa Rais wa kwanza Mwafrika nchini Afrika Kusini, Nelson Mandela, Graca Machel akimuaga mume wake. Mwili wa shujaa huyo wa dunia ulilazwa katika jengo la serikali la Union kutoa nafasi kwa wananchi kumuaga mpendwa wao. (Picha na AFP).MAELFU ya Waafrika Kusini jana walijitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Rais wa Kwanza Mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela katika majengo ya Serikali ya Union jijini Pretoria.

Wengine walijipanga barabarani kutoa heshima zao wakati mwili ukipitishwa kutoka hospitalini ulikohifadhiwa na kupelekwa katika majengo ya Union na jioni kurudishwa hospitalini.

Mwili huo ulipelekwa hapo jana asubuhi ili kutoa fursa kwa wananchi kuuaga rasmi kabla ya kusafirishwa kwenda kijijini kwao...

 

9 years ago

Raia Mwema

Kwaheri 2015

HILI ni toleo la mwisho la gazeti la Raia Mwema kwa mwaka huu wa 2015.

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

GPL

Kwaheri phiri

Kocha Mkuu wa Simba Mzambia, Patrick Phiri. Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Simba Mzambia, Patrick Phiri, jana alioondoka nchini kuelekea Zambia kwa mapumziko ya wiki moja, baada ya Ligi Kuu Bara kusimama kupisha michuano ya Cecafa iliyopangwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu. Mzambia huyo, anarejea kwao baada ya kukabidhi ripoti ya raundi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara kwa Kamati ya Utendaji ya Simba, iliyokutana hivi karibuni na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwaheri Maalim Gurumo

NGULI wa muziki wa dansi nchini, Muhidin Maalim Gurumo ‘Mjomba’, amefariki dunia jana katika hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akiwa na umri wa miaka 73. Gurumo, mwanamuziki mwenye historia ndefu...

 

9 years ago

Mwananchi

Kwaheri JK, karibu JPM

Watanzania leo watashuhudia mabadiliko ya uongozi wakati Rais Jakaya Kikwete ataondoka rasmi madarakani kumpisha rasmi Dk John Magufuli kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa na kibarua kigumu cha kufanya mabadiliko yatakayopunguza ugumu wa maisha kwa wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani