PAMOJA NA MBWEMBWE NYINGI... TICHA AVUNJA NDOA YA MTU
![](http://api.ning.com:80/files/vuUh0rgUyT6W*rG1Sgd-0UKebULGR1NmDbwa5GjAYZHLxQr89gndQhBdS6EvypxuzRHChRi8pDFkZnzgR8qFXZ-cvCuruxQG/ticha.jpg)
Stori: Haruni Sanchawa RB namba STK//RB/4457/2014 -KUTUMIA LUGHA YA MATUSI inawahusu wanandoa waliodumu kwa zaidi ya miaka 10, waliofunga ndoa kwa mbwembwe nyingi, Nyange na Ruth kisa kikielezwa kuwa ni ticha anayedaiwa kuvunja utatu huo mtakatifu, Ijumaa lina kisa na mkasa. Ruth na Nyange wakati wa harusi. Habari zilieleza kwamba wahusika ni wakazi wa Pugu, Dar. Kwa mujibu wa habari za mtaani wanakoishi wawili hao...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili28 Nov
Avunja rekodi ya kutumia taa nyingi katika mti wa Krisimasi
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bGawF3RRkadY-OjBVLBNGUMIARG8at2IsW1wATZxmqDmB2N*Y-LJrX573mGINwidY*OirzDKNnfl-yGdgYJDCSR5FIg3nEKs/Wema.gif?width=650)
WEMA AVUNJA NDOA!
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
DC avunja ndoa ya mwanafunzi Kiteto
MKUU wa Wilaya ya Kiteto, Martha Umbulla, amefanikiwa kumuondoa katika ndoa mwanafunzi aliyekatishwa masomo na kulazimishwa kuolewa. Mkuu huyo wa Wilaya (DC) amefikia hatua hiyo baada ya aliyekuwa mwanafunzi wa...
9 years ago
Mtanzania06 Oct
Lowassa avunja ‘ndoa’ ya Zitto, Dk. Slaa
NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM
MKAKATI wa chama cha ACT Wazalendo kumtumia aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa kutumia jukwaa lake ‘kumchafua’ mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Ukawa, umegonga mwamba.
Kukwama kwa mkakati huo kunatokana na kuwapo msigano wa mawazo miongoni mwa viongozi wa ACT ambao waliona kumtumia Dk. Slaa kuiponda Chadema na hata Ukawa wataifanya jamii kuamini kwamba wao (ACT)...
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Lady Jaydee afunguka, avunja ndoa na Gadner
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Lampard avunja ukimya, afunga ndoa na Christine
LONDON, ENGLAND
NYOTA wa zamani wa klabu ya Manchester City na Chelsea, Frank Lampard, amefanikiwa kufunga ndoa juzi na mke wake ambaye ni mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha BBC nchini England, Christine Bleakley.
Kiungo huyo wa zamani wa timu ya Taifa ya England mwenye umri wa miaka 37, ameamua kukamilisha ahadi yake baada ya kukaa kwenye uchumba kwa miaka minne na Christine.
Ndoa hiyo ilifungwa kwenye Kanisa la St Paul’s lililopo Knightsbridge, jijini London, ambapo wachezaji...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y7WxhNqXbMa7anUzzQMYQIGQNhIgr56H1Nr-eYXQ9P58*qy4VcfzoH77rLtZwpr9n0BRaZNAw5fTx*Nfd7cYjQSqg8dknmUi/askofu.jpg)
ASKOFU GEOR DAVIE AVUNJA NDOA YA SEKRETARI WAKE
10 years ago
Mwananchi09 Jul
Mfugale: Mtu aliyeaga umaskini baada ya kazi nyingi za sulubu
5 years ago
Michuzi![](https://img.youtube.com/vi/DTOhAeXK9A8/default.jpg)