Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC avunja ndoa ya mwanafunzi Kiteto

MKUU wa Wilaya ya Kiteto, Martha Umbulla, amefanikiwa kumuondoa katika ndoa mwanafunzi aliyekatishwa masomo na kulazimishwa kuolewa. Mkuu huyo wa Wilaya (DC) amefikia hatua hiyo baada ya aliyekuwa mwanafunzi wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

WEMA AVUNJA NDOA!

waandishi wetu HALI si shwari kwenye familia ya Kampuni ya Endless Fame Productions kufuatia madai mazito yanayomgusa mkurugenzi wake, Wema Isaac Sepetu akihusishwa na kuvunjika kwa ndoa ya mdogo wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ almaarufu kwa jina la Esma Platnumz aliyeolewa na Hamad Manungwa ‘Petit Man’.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1HZ6KjS ...

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa avunja ‘ndoa’ ya Zitto, Dk. Slaa

EDWARD NGOYAYE LOWASSANA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM

MKAKATI wa chama cha ACT Wazalendo kumtumia aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa kutumia jukwaa lake ‘kumchafua’ mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Ukawa, umegonga mwamba.

Kukwama kwa mkakati huo kunatokana na kuwapo msigano wa mawazo miongoni mwa viongozi wa ACT ambao waliona kumtumia Dk. Slaa kuiponda Chadema na hata Ukawa wataifanya jamii kuamini kwamba wao (ACT)...

 

10 years ago

Mwananchi

Lady Jaydee afunguka, avunja ndoa na Gadner

Mwanamuziki nyota wa kike nchini, Lady Jaydee jana aliamua kuwaburudisha mashabiki wake kwa staili ya kipekee; kuzungumzia kuvunjika kwa ndoa yake na Gadner Habash

 

9 years ago

Mtanzania

Lampard avunja ukimya, afunga ndoa na Christine

LampardLONDON, ENGLAND

NYOTA wa zamani wa klabu ya Manchester City na Chelsea, Frank Lampard, amefanikiwa kufunga ndoa juzi na mke wake ambaye ni mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha BBC nchini England, Christine Bleakley.

Kiungo huyo wa zamani wa timu ya Taifa ya England mwenye umri wa miaka 37, ameamua kukamilisha ahadi yake baada ya kukaa kwenye uchumba kwa miaka minne na Christine.

Ndoa hiyo ilifungwa kwenye Kanisa la St Paul’s lililopo Knightsbridge, jijini London, ambapo wachezaji...

 

10 years ago

Vijimambo

Walimu Watatu Wamchapa Mwanafunzi wa Kidato cha Pili viboko Hadi Kufariki kwa Kufeli Mtihani wa Kiswahili huko KITETO

Mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Matui wilayani Kiteto, amefariki dunia darasani baada ya kudaiwa kuchapwa viboko na walimu watatu wa shule hiyo, kwa kile kilichodaiwa kufeli mtihani wa Kiswahili. Polisi wilayani na mkoani Manyara, wanamshikilia mwalimu mmoja baada ya wenzake kukimbia baada ya tukio.Akizungumza jana, Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Kanali Samwel Nzoka alimtaja mwanafunzi huyo aliyepoteza maisha kuwa ni Noel Bichima (15).Kanali Nzoka alisema tukio hilo...

 

10 years ago

GPL

ASKOFU GEOR DAVIE AVUNJA NDOA YA SEKRETARI WAKE

Joseph Ngilisho, ARUSHA
KIMENUKA! Ndoa iliyodumu kwa miaka 15 kati ya Wiston Lotta (52) na Pamella Geofrey (40) imevunjwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kufuatia ushahidi mzito uliotolewa mahakamani hapo kumridhisha Hakimu Hawa Mghuruta. Askofu Mkuu wa Huduma na Ngurumo ya Upako, George David ‘Geor Davie’. Askofu Mkuu wa Huduma na Ngurumo ya Upako, George David ‘Geor Davie’ yenye makao makuu yake...

 

11 years ago

GPL

PAMOJA NA MBWEMBWE NYINGI... TICHA AVUNJA NDOA YA MTU

Stori: Haruni Sanchawa
RB namba STK//RB/4457/2014 -KUTUMIA LUGHA YA MATUSI inawahusu wanandoa waliodumu kwa zaidi ya miaka 10, waliofunga ndoa kwa mbwembwe nyingi, Nyange na Ruth kisa kikielezwa kuwa ni ticha anayedaiwa kuvunja utatu huo mtakatifu, Ijumaa lina kisa na mkasa. Ruth na Nyange wakati wa harusi. Habari zilieleza kwamba wahusika ni  wakazi wa Pugu, Dar.
Kwa mujibu wa habari za mtaani wanakoishi wawili hao...

 

11 years ago

GPL

MAPYA YAIBUKA NDOA ILIYOVUNJWA NA MAHAKAMA NKASI, YADAIWA MUME ‘ALIMBAKA’ MWANAFUNZI…!

Ndebile Kazuri anayedaiwa kumpa mimba mwanafunzi darasa la saba. Nkasi-Rukwa SAKATA la ndoa iliyovunjwa na mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Nkasi, Mkoa wa Rukwa limeingia katika sura mpya baada ya uchunguzi zaidi kubainika kuwa mume aliyeiomba mahakama ivunje ndoa yake, Ndebile Kazuri alimkatisha mke masomo ya elimu ya msingi mkewe baada ya kumtia ujauzito akiwa darasa la sita. Kwa mujibu wa vyanzo vya habari ambazo mwandishi wa...

 

10 years ago

TheCitizen

We’ll bury many if Kiteto situation isn’t addressed penings in Kiteto?

It seems that the cries by the Deputy Speaker of the National Assembly, who is also Kongwa Member of Parliament, Mr Job Ndugai and several other law makers about the wanton killings in Kiteto have not been heard by the government. If the government has heard the cries, surely it would have moved to normalise the situation.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani