Walimu Watatu Wamchapa Mwanafunzi wa Kidato cha Pili viboko Hadi Kufariki kwa Kufeli Mtihani wa Kiswahili huko KITETO
![](http://lh3.googleusercontent.com/-_BozZ42A0o4/VTeOCGtPhqI/AAAAAAAAsYo/7L50h9WPZz8/s72-c/1.jpg)
Mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Matui wilayani Kiteto, amefariki dunia darasani baada ya kudaiwa kuchapwa viboko na walimu watatu wa shule hiyo, kwa kile kilichodaiwa kufeli mtihani wa Kiswahili. Polisi wilayani na mkoani Manyara, wanamshikilia mwalimu mmoja baada ya wenzake kukimbia baada ya tukio.Akizungumza jana, Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Kanali Samwel Nzoka alimtaja mwanafunzi huyo aliyepoteza maisha kuwa ni Noel Bichima (15).Kanali Nzoka alisema tukio hilo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Apr
Walimu wamchapa mwanafunzi, afariki
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-cPynU6bLG6U/U-5P4rRkFOI/AAAAAAAAFEw/5OTCgUXp7E4/s72-c/MJAMZITO.jpg)
MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI AMTUNDIKA MIMBA MWALIMU WAKE
![](http://2.bp.blogspot.com/-cPynU6bLG6U/U-5P4rRkFOI/AAAAAAAAFEw/5OTCgUXp7E4/s640/MJAMZITO.jpg)
Hii ni moja ya picha mbalimbali za wajawazito kama inavyonekani siyo ya mwalimu muhusika kwa tukio hilo.
Na Mohab MatukioWAKATI ikiwa imezoeleka kuwa baadhi ya walimu wa kiume huwarubuni wanafunzi wao wa kike na hata kuwaharibia kabisa ndoto zao za kielimu kutokana na kuwapa ujauzito, hali imekuwa tofauti mkoani Rukwa ambako mwanafunzi wa Kidato cha Pili anadaiwa kumzalisha mwalimu wake.
Mwanafunzi huyo aliyemzalisha mwalimu wake ana umri wa miaka 17, wakati mwalimu huyo anayefundisha katika...
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Mwanafunzi kidato cha pili akimbia nyumbani akikataa kuolewa
10 years ago
Dewji Blog18 Oct
Wanafunzi waaswa kutokufaulu kidato cha nne, sio kufeli maisha
Rais wa shirikisho la wachimba madini Tanzania na mgeni rasmi wa mahafali ya sita ya shule ya sekondari kata Mandewa,John Bina,akizungumza kwenye mahafali hayo. Kulia ni mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari ya Mandewa.Bahati Shagama na kushoto ni mkuu wa wa shule hiyo, Margreth Missanga.
Na Nathaniel Limu, Singida
RAIS wa shirikisho la wachimba madini Tanzania, John Bina amewataka wanafunzi ambao hawatafaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka huu,wasikate tamaa kwa madai kwamba yapo...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-zSlEfiRqINs/VcIaf4sCu8I/AAAAAAAHuY8/P-uYt6sb9Pg/s72-c/image.jpg)
SHULE ZA BINAFSI ZAONGOZA MATOKEO YA MTIHANI WA UTIMILIFU (MOCK) KWA WANAFUNZI WANAOSOMA KIDATO CHA NNE JIJINI DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-zSlEfiRqINs/VcIaf4sCu8I/AAAAAAAHuY8/P-uYt6sb9Pg/s640/image.jpg)
Na Aron Msigwa -MAELEZO.MATOKEO ya mtihani wa Utimilifu kwa wanafunzi wanaosoma kidato cha nne katika shule za Sekondari za jiji la Dare es salaam yametolewa leo jijini Dar es salaam yakiwa na alama za juu za ufaulu kwa wanafunzi...
11 years ago
Mwananchi30 Dec
Kidato cha pili Pwani wakithiri kwa utoro
11 years ago
Habarileo30 Apr
Mtihani mpya kidato cha 4
WANAFUNZI wa Kidato cha Nne, watafanya mitihani miwili ya Taifa mwaka huu, baada ya kuongezwa mtihani wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), ambao utatumika kuwapima walivyojiandaa na Mtihani wa Taifa wa Kumaliza Elimu ya Sekondari.
10 years ago
Habarileo01 Nov
Mtihani Kidato cha Nne Jumatatu
MTIHANI wa Taifa wa Kidato cha Nne na Mtihani wa Maarifa wa mwaka 2014 unatarajiwa kufanyika nchini kote kwa takribani siku 20 kuanza keshokutwa huku idadi ya watahiniwa ikiwa pungufu ikilinganishwa na watahiniwa wa mwaka jana.
9 years ago
Habarileo02 Nov
Kidato cha 4 kuanza mtihani leo
WATAHINIWA 448,358 wa shule na wa kujitegemea wanatarajia kufanya mtihani wa kumaliza Kidato cha Nne unaotarajia kuanza kufanyika leo nchi nzima.