Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanafunzi kidato cha pili akimbia nyumbani akikataa kuolewa

Malipo ya Sh15,000 anayodaiwa shule, yanaweza kuonekana kuwa ndio chanzo cha kupoteza mwelekeo kwa binti wa miaka 14, Rachel Sunguya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI AMTUNDIKA MIMBA MWALIMU WAKE


Hii ni moja ya picha mbalimbali za wajawazito kama inavyonekani siyo ya mwalimu muhusika kwa tukio hilo.

Na Mohab MatukioWAKATI ikiwa imezoeleka kuwa baadhi ya walimu wa kiume huwarubuni wanafunzi wao wa kike na hata kuwaharibia kabisa ndoto zao za kielimu kutokana na kuwapa ujauzito, hali imekuwa tofauti mkoani Rukwa ambako mwanafunzi wa Kidato cha Pili anadaiwa kumzalisha mwalimu wake.

Mwanafunzi huyo aliyemzalisha mwalimu wake ana umri wa miaka 17, wakati mwalimu huyo anayefundisha katika...

 

10 years ago

Vijimambo

Walimu Watatu Wamchapa Mwanafunzi wa Kidato cha Pili viboko Hadi Kufariki kwa Kufeli Mtihani wa Kiswahili huko KITETO

Mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Matui wilayani Kiteto, amefariki dunia darasani baada ya kudaiwa kuchapwa viboko na walimu watatu wa shule hiyo, kwa kile kilichodaiwa kufeli mtihani wa Kiswahili. Polisi wilayani na mkoani Manyara, wanamshikilia mwalimu mmoja baada ya wenzake kukimbia baada ya tukio.Akizungumza jana, Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Kanali Samwel Nzoka alimtaja mwanafunzi huyo aliyepoteza maisha kuwa ni Noel Bichima (15).Kanali Nzoka alisema tukio hilo...

 

9 years ago

Mwananchi

NYANZA: Mwanafunzi kidato cha II auawa akimwokoa mwenzake asibakwe

Mwanafunzi wa kidato cha pili wa Sekondari ya Nyasubi, Ally Jacob ameuawa baada kuchomwa na kitu chenye ncha kali shingoni alipokuwa akijaribu kumwokoa mwanafunzi mwenzake asibakwe.

 

10 years ago

Vijimambo

MWANAFUNZI BORA KIDATO CHA NNE AWATAKA VIONGOZI WAWE WAKWELI, WAADILIFU

Nyakaho Marungu akiwa kwenye pozi na rafiki yake Fauzia ambae wote wamemaliza kidato cha nne Baobab Secondary School.
Mama mzazi wa Nyakaho, Celestina Maro (kushoto)
MSICHANA Nyakaho Marungu (16) mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Baobab,iliyopo Mapinga Bagamoyo mkoani Pwani aliyeibuka mwanafunzi bora wa mtihani wa kidato cha nne mwaka 2014 nchini, amewataka viongozi nchini kuwa wakweli na waadilifu ili kuiletea nchi maendeleo na kutokumuudhi Mwenyezi Mungu.Akizungumza na GPL nyumbani kwao...

 

10 years ago

Mwananchi

Sayansi ni ‘shida’ kidato cha pili

Juhudi za Serikali kuinua ufaulu wa masomo ya sayansi katika elimu ya sekondari sasa zitakuwa zimepata picha halisi ya hali ilivyo baada ya matokeo ya mtihani wa kidato cha pili kuonyesha ufaulu mdogo katika masomo hayo na mwanafunzi mmoja tu akipata alama zote katika somo la bailojia.

 

10 years ago

GPL

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2015

 BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO HAYA>>>

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yawabeba waliofeli kidato cha pili

Wakati Watanzania wakisubiri matokeo ya kidato cha pili mwaka 2013, imebaini kuwa Serikali imetoa agizo kwamba wanafunzi wote waliofeli mtihani huo kuendelea na masomo ya kidato cha tatu, huku wakisoma mafunzo ya kurudia mtihani wa kidato cha pili.

 

9 years ago

Mtanzania

Wanafunzi kidato cha pili waanza mitihani

dk-charles-e-msondeNa Jonas Mushi, Dar es Salaam

BARAZA lA Mitihani Tanzania (NECTA) limesema wanafunzi 397, 250 wa kidato cha pili wameanza kufanya Mitihani ya Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili (FTNA) ikijumuisha wavulana 197,452 sawa na asilimia 49.70 na wasichana 199,798 sawa na asilimia 50.30.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Charles Msonde, alisema mitihani hiyo ilianza jana katika shule za sekondari 4,764 za Tanzania bara na itamalizika...

 

11 years ago

Mwananchi

Kidato cha pili Pwani wakithiri kwa utoro

>Mkoa wa Pwani unakabiliwa na tatizo kubwa la wanafunzi wa kidato cha pili wanaotakiwa kukariri darasa kukimbia shule na baadhi ya wanaopangiwa kidato cha kwanza nao kutoripoti kabisa shuleni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani