ASKOFU GEOR DAVIE AVUNJA NDOA YA SEKRETARI WAKE
![](http://api.ning.com:80/files/Y7WxhNqXbMa7anUzzQMYQIGQNhIgr56H1Nr-eYXQ9P58*qy4VcfzoH77rLtZwpr9n0BRaZNAw5fTx*Nfd7cYjQSqg8dknmUi/askofu.jpg)
Joseph Ngilisho, ARUSHA KIMENUKA! Ndoa iliyodumu kwa miaka 15 kati ya Wiston Lotta (52) na Pamella Geofrey (40) imevunjwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kufuatia ushahidi mzito uliotolewa mahakamani hapo kumridhisha Hakimu Hawa Mghuruta. Askofu Mkuu wa Huduma na Ngurumo ya Upako, George David ‘Geor Davie’. Askofu Mkuu wa Huduma na Ngurumo ya Upako, George David ‘Geor Davie’ yenye makao makuu yake...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bGawF3RRkadY-OjBVLBNGUMIARG8at2IsW1wATZxmqDmB2N*Y-LJrX573mGINwidY*OirzDKNnfl-yGdgYJDCSR5FIg3nEKs/Wema.gif?width=650)
WEMA AVUNJA NDOA!
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
DC avunja ndoa ya mwanafunzi Kiteto
MKUU wa Wilaya ya Kiteto, Martha Umbulla, amefanikiwa kumuondoa katika ndoa mwanafunzi aliyekatishwa masomo na kulazimishwa kuolewa. Mkuu huyo wa Wilaya (DC) amefikia hatua hiyo baada ya aliyekuwa mwanafunzi wa...
9 years ago
Mtanzania06 Oct
Lowassa avunja ‘ndoa’ ya Zitto, Dk. Slaa
NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM
MKAKATI wa chama cha ACT Wazalendo kumtumia aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa kutumia jukwaa lake ‘kumchafua’ mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Ukawa, umegonga mwamba.
Kukwama kwa mkakati huo kunatokana na kuwapo msigano wa mawazo miongoni mwa viongozi wa ACT ambao waliona kumtumia Dk. Slaa kuiponda Chadema na hata Ukawa wataifanya jamii kuamini kwamba wao (ACT)...
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Lady Jaydee afunguka, avunja ndoa na Gadner
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Lampard avunja ukimya, afunga ndoa na Christine
LONDON, ENGLAND
NYOTA wa zamani wa klabu ya Manchester City na Chelsea, Frank Lampard, amefanikiwa kufunga ndoa juzi na mke wake ambaye ni mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha BBC nchini England, Christine Bleakley.
Kiungo huyo wa zamani wa timu ya Taifa ya England mwenye umri wa miaka 37, ameamua kukamilisha ahadi yake baada ya kukaa kwenye uchumba kwa miaka minne na Christine.
Ndoa hiyo ilifungwa kwenye Kanisa la St Paul’s lililopo Knightsbridge, jijini London, ambapo wachezaji...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vuUh0rgUyT6W*rG1Sgd-0UKebULGR1NmDbwa5GjAYZHLxQr89gndQhBdS6EvypxuzRHChRi8pDFkZnzgR8qFXZ-cvCuruxQG/ticha.jpg)
PAMOJA NA MBWEMBWE NYINGI... TICHA AVUNJA NDOA YA MTU
10 years ago
Mwananchi01 Jun
Uandikishaji wa BVR unavunja ndoa - Askofu
9 years ago
Mtanzania28 Dec
Askofu Kilaini ahimiza uwekezaji katika ndoa
Na Joan John, Kagera
ASKOFU Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba, Mhashamu, Methodius Kilaini amewataka wanandoa nchini kuwekeza katika ndoa zao ili kuweza kujenga familia imara.
Askofu Kilaini alisema hayo juzi katika misa ya pili iliyofanyika katika Kanisa Katoliki mjini Bukoba ambapo alisema kuwa bila wanandoa kuwekeza katika ndoa zao, kamwe hawawezi kujenga familia imara.
Alisema Wakristo wanapaswa kujenga tabia ya uvumilivu, upendo, amani, kuthaminiana, kuheshimiana katika...
9 years ago
Mtanzania07 Sep
Askofu Gwajima: Bila mshenga hakuna ndoa
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amesema tabia ya baadhi ya watu kumuita majina mengi ikiwa ni pamoja na ‘mshenga’, ni kielelezo dhairi kuwa sasa ni wakati wa mabadiliko na kwamba bila mshenga ndoa haiwezi kuwapo.
Askofu Gwajima aliyasema hayo jana kwenye Ibada iliyofanyika kwenye kanisa la Ufufuo na uzima lililopo Ubungo.
Matamshi hayo ameyatoa ikiwa imepita takribani wiki moja tangu aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod...