Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TICHA MJAMZITO ACHOMOKEA DIRISHANI KWENYE DALADALA

CHEZEA kifo wewe! Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwere ya mjini hapa ambaye jina halikupatikana mara moja, akiwa mjamzito, amenusurika kifo baada ya daladala walilopanda kutumbukia mtaroni na yeye kuchomokea kwenye dirishani. Gari likiwa limepinduka baada ya ajali hiyo. Tukio hilo lilijiri jirani kabisa na eneo la Kanisa la KKKT ambapo mashuhuda walidai kwamba tukio hilo lilitokea baada ya dereva wa daladala aliyefahamika kwa jina...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MJAMZITO AJIFUNGULIA KWENYE KOKOTO

Stori: Gordon Kalulunga, Mbeya
MASIKINI! Mama mjamzito aliyetambulika kwa jina la Sabina Mwakyusa (28), mkazi wa Kijiji cha Iwala, Kata ya Utengule Usongwe wilayani Mbalizi mkoani hapa anadaiwa kujifungulia nje kwenye kokoto. INASIKITISHA
Tukio hilo la kufungia mwaka lilijiri nje ya Hospitali Teule ya Ifisi-Mbalizi hivi karibuni na kusababisha masikitiko makubwa kwa mashuhuda waliodai kuwa ishu hiyo ni kali ya kufungia mwaka...

 

10 years ago

GPL

MJAMZITO ATIMULIWA KWENYE NYUMBA

Dustan Shekidele, Morogoro

Haijakaa poa! Katika hali isiyo ya kawaida, mjamzito aliyefahamika kwa jina la Jamila Jalala amepambana na polisi akigoma kuhama kwenye nyumba ya mwarabu aliyokuwa akiishi zaidi ya miaka mitano hivyo kutimuliwa kwa nguvu.

Mkasa huo wa kusikitisha ulioshuhudiwa live na mwanahabari wetu ulijiri kwenye nyumba hiyo iliyopo Mtaa wa Mindu Kata ya Uwanja wa Taifa mkoani hapa.

Awali, mmiliki wa...

 

10 years ago

GPL

ALI KIBA KIVUTIO KWENYE DALADALA DAR

Ali Kiba akifurahia jambo na abiria. Kondakta wa daladala akiwa na Ali Kiba. Ali Kiba akiongea na baadhi ya abiria.…

 

9 years ago

Habarileo

Polisi Ilala wachunguza ujambazi kwenye daladala

JESHI la Polisi limesema linachunguza tukio la uporaji wa Dola za Marekani 570 lililofanyika kwenye daladala katika eneo la Jangwani, jijini Dar es Salaam lililosababisha kifo na majeruhi.

 

10 years ago

Mwananchi

Auawa baada ya kuwachoma visu wenzake kwenye daladala

>Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Mosha Mahona ameuawa na wananchi baada ya kuwachoma kwa kisu abiria watano waliokuwa kwenye daladala linalofanya safari zake kati ya Posta na Ubungo Simu 2000.

 

10 years ago

Vijimambo

Auawa baada ya kuwachoma visu wenzake kwenye daladala

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura
By Pamela Chilongola, Mwananchi

Dar es Salaam. Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Mosha Mahona ameuawa na wananchi baada ya kuwachoma kwa kisu abiria watano waliokuwa kwenye daladala linalofanya safari zake kati ya Posta na Ubungo Simu 2000.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi saa moja usiku katika eneo la Magomeni Usalama na Mahona aliuawa kwa kushambuliwa na wananchi baada ya...

 

11 years ago

Michuzi

MDAU KIZITO ASHINDA MILIONI 10 ZA 'CHAMPIONI MAHELA' AKIWA KWENYE DALADALA

BAADA ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye, mshindi wa milioni 10 amepatikana kupitia droo ya Shinda Mahela na Championi ambaye ni Kizito George Chuka.
Droo hiyo iliyochezeshwa mbele ya Msimamizi wa Bodi ya Bahati Nasibu, Mrisho Milao kwenye Viwanja vya Mbagala- Zakhem jana Jumanne.
Akizungumza Kizito ambaye ni makazi wa Kawe jijini Dar alipopigiwa simu na muendeshaji wa shughuli hiyo MC Chaku, mshindi huyo alikuwa ndani ya daladala hivyo hakuwa na mengi ya kuongeza zaidi ya kushukuru kwa...

 

9 years ago

GPL

MRISHO MPOTO ATAFUTA NAULI KWA KUPIGA DEBE KWENYE DALADALA - 4

MPENZI msomaji, wiki iliyopita katika simulizi hii ya Mrisho Mpoto tuliishia pale alipotua Dar na mama yake, akaanzishwa Shule ya Msingi, Ilala Boma na kipindi hicho walikuwa maskini wa kutupwa kwani maisha yao yalikuwa ya kwenda kuokota vifuu, kuni na kuviuza. Songa nayo mwenyewe... “Mazingira ya nyumba yetu pale Ilala yalikuwa ni kama eneo la kumuelekeza mtu kutokana na jumba bovu nililokuwa nikiishi na mama.”Duh!...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani