Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MJAMZITO AJIFUNGULIA KWENYE KOKOTO

Stori: Gordon Kalulunga, Mbeya
MASIKINI! Mama mjamzito aliyetambulika kwa jina la Sabina Mwakyusa (28), mkazi wa Kijiji cha Iwala, Kata ya Utengule Usongwe wilayani Mbalizi mkoani hapa anadaiwa kujifungulia nje kwenye kokoto. INASIKITISHA
Tukio hilo la kufungia mwaka lilijiri nje ya Hospitali Teule ya Ifisi-Mbalizi hivi karibuni na kusababisha masikitiko makubwa kwa mashuhuda waliodai kuwa ishu hiyo ni kali ya kufungia mwaka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MJAMZITO ASALITI NDOA, AJIFUNGULIA GESTI

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro MJAMZITO wa miezi saba Bi. Mwanaidi Athumani mkazi wa Chamwino Morogoro hivi karibuni alifanya mchepuko wa kutoka nje ya ndoa na kujikuta akijifungua mtoto wa kiume ndani ya gesti iliyopo maeneo ya Mafisa mjini hapa, Risasi Mchanganyiko lina data za kutosha. Habari zinasema kuwa mwanamke huyo alifanya mchepuko huo baada ya mumewe kusafiri kwenda kutafuta fedha za maandalizi ya kujifungua kwake....

 

10 years ago

GPL

MJAMZITO ATIMULIWA KWENYE NYUMBA

Dustan Shekidele, Morogoro

Haijakaa poa! Katika hali isiyo ya kawaida, mjamzito aliyefahamika kwa jina la Jamila Jalala amepambana na polisi akigoma kuhama kwenye nyumba ya mwarabu aliyokuwa akiishi zaidi ya miaka mitano hivyo kutimuliwa kwa nguvu.

Mkasa huo wa kusikitisha ulioshuhudiwa live na mwanahabari wetu ulijiri kwenye nyumba hiyo iliyopo Mtaa wa Mindu Kata ya Uwanja wa Taifa mkoani hapa.

Awali, mmiliki wa...

 

9 years ago

GPL

TICHA MJAMZITO ACHOMOKEA DIRISHANI KWENYE DALADALA

CHEZEA kifo wewe! Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwere ya mjini hapa ambaye jina halikupatikana mara moja, akiwa mjamzito, amenusurika kifo baada ya daladala walilopanda kutumbukia mtaroni na yeye kuchomokea kwenye dirishani. Gari likiwa limepinduka baada ya ajali hiyo. Tukio hilo lilijiri jirani kabisa na eneo la Kanisa la KKKT ambapo mashuhuda walidai kwamba tukio hilo lilitokea baada ya dereva wa daladala aliyefahamika kwa jina...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mama ajifungulia barabarani New York

Mwanamke mmoja muingereza amejifungulia katika barabara moja mjini New York akiwa njiani kuelekea hospitalini

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchimbaji kokoto watia hofu

MWENYEKITI wa Serikali ya Mtaa wa Kizani, Kata ya Somangila, Kigamboni jijini Dar es Salaam, Julius Kibwina, ameitaka serikali kuu kuingilia kati uharibifu wa mazingira unaofanywa na wajenzi wa daraja...

 

11 years ago

CloudsFM

LORI LA KOKOTO LAUA MTU MOROGORO.

Mtu mmoja amefariki dunia papo hapo na wengine sita wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na lori lilisheheni kokoto waakati likijaribu kukwepa mwendesha pikipiki kisha kuacha njia na kupinduka na kuwaangukia watembea na kuwabana kwa masaa kadhaa katika eneo la msamvu mjini Morogoro.
Vilio na mazonzi vilitawala katika eneo la tukio la ajali wakati zoezi la kuokoa mtu aliebanwa na gari likiendelea ambapo kamanda polisi mkoa wa Morogoro Lenarld Paul akizungumza katika eneo la tukio amesema chanzo...

 

9 years ago

Habarileo

JK azindua kiwanda cha kupasua kokoto B’moyo

RAIS Jakaya Kikwete amezindua kiwanda cha kupasua kokoto za ukubwa mbalimbali kwa wastani wa meta za ujazo 2,000 kwa siku katika kijiji cha Pongwe, Msungura wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.

 

10 years ago

Habarileo

Washauri waponda kokoto kupewa ajira nyingine

MJUMBE wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Dk Pudensiana Kikwembe ameshauri wanawake wanaofanya kazi ya kuponda kokoto katika bandari mpya ya Kiwira iliyopo Ziwa Nyasa wilayani Kyela watafutiwe kazi nyingine ya ujasiriamali.

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA KUSAGA KOKOTO PONGWE MSUNGURA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua mradi wa kusaga kokoto uliopo katika kijiji cha Pongwe Msungura Wilayani Bagamoyo leo. Kulia ni Waziri wa Ulinzi  na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.Hussein Mwinyi, Wapili kulia, ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Raphael Muhuga,wapili kushoto ni Balozi wa Uturuki nchini Mhe.Yasemin Eralp, watatu kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya ANIT ASFALT Bwana Semih Yaran, na wanne kushoto ni Mkuu wa Mkoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani