Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchimbaji kokoto watia hofu

MWENYEKITI wa Serikali ya Mtaa wa Kizani, Kata ya Somangila, Kigamboni jijini Dar es Salaam, Julius Kibwina, ameitaka serikali kuu kuingilia kati uharibifu wa mazingira unaofanywa na wajenzi wa daraja...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MJAMZITO AJIFUNGULIA KWENYE KOKOTO

Stori: Gordon Kalulunga, Mbeya
MASIKINI! Mama mjamzito aliyetambulika kwa jina la Sabina Mwakyusa (28), mkazi wa Kijiji cha Iwala, Kata ya Utengule Usongwe wilayani Mbalizi mkoani hapa anadaiwa kujifungulia nje kwenye kokoto. INASIKITISHA
Tukio hilo la kufungia mwaka lilijiri nje ya Hospitali Teule ya Ifisi-Mbalizi hivi karibuni na kusababisha masikitiko makubwa kwa mashuhuda waliodai kuwa ishu hiyo ni kali ya kufungia mwaka...

 

11 years ago

CloudsFM

LORI LA KOKOTO LAUA MTU MOROGORO.

Mtu mmoja amefariki dunia papo hapo na wengine sita wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na lori lilisheheni kokoto waakati likijaribu kukwepa mwendesha pikipiki kisha kuacha njia na kupinduka na kuwaangukia watembea na kuwabana kwa masaa kadhaa katika eneo la msamvu mjini Morogoro.
Vilio na mazonzi vilitawala katika eneo la tukio la ajali wakati zoezi la kuokoa mtu aliebanwa na gari likiendelea ambapo kamanda polisi mkoa wa Morogoro Lenarld Paul akizungumza katika eneo la tukio amesema chanzo...

 

9 years ago

Habarileo

JK azindua kiwanda cha kupasua kokoto B’moyo

RAIS Jakaya Kikwete amezindua kiwanda cha kupasua kokoto za ukubwa mbalimbali kwa wastani wa meta za ujazo 2,000 kwa siku katika kijiji cha Pongwe, Msungura wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.

 

10 years ago

Habarileo

Washauri waponda kokoto kupewa ajira nyingine

MJUMBE wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Dk Pudensiana Kikwembe ameshauri wanawake wanaofanya kazi ya kuponda kokoto katika bandari mpya ya Kiwira iliyopo Ziwa Nyasa wilayani Kyela watafutiwe kazi nyingine ya ujasiriamali.

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA KUSAGA KOKOTO PONGWE MSUNGURA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua mradi wa kusaga kokoto uliopo katika kijiji cha Pongwe Msungura Wilayani Bagamoyo leo. Kulia ni Waziri wa Ulinzi  na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.Hussein Mwinyi, Wapili kulia, ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Raphael Muhuga,wapili kushoto ni Balozi wa Uturuki nchini Mhe.Yasemin Eralp, watatu kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya ANIT ASFALT Bwana Semih Yaran, na wanne kushoto ni Mkuu wa Mkoa...

 

5 years ago

Michuzi

RUZUKU YA TASAF YAMUWEZESHA ALBINA KUENDESHA MRADI WA KOKOTO NA KUBORESHA MAISHA YAKE MJINI BABATI

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Dkt. Jasson Rweikiza (Mb), akieleza kuridhishwa na maendeleo ya Mnufaika wa (TASAF), Bibi Albina Matayo, mkazi wa Halmashauri ya Mji wa Babati.
Mnufaika wa Ruzuku inayotolewa na Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF), Bibi Albina Matayo, mkazi wa Halmashauri ya Mji wa Babati, Mtaa wa Mrara, akitoa ushuhuda jana kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wa namna TASAF ilivyomuwezesha...

 

10 years ago

Mwananchi

Friends of Simba watia ubani

Kundi la wanachama matajiri wa klabu ya Simba, Friends of Simba limevamia mazoezi ya klabu hiyo na kutia ubani maandalizi ya kuikabili Azam kesho.

 

9 years ago

Mwananchi

Makomandoo watia fora hafla ya kumuaga JK

Makomandoo wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), jana walikuwa kivutio katika hafla ya kumuaga Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani