LORI LA KOKOTO LAUA MTU MOROGORO.
Mtu mmoja amefariki dunia papo hapo na wengine sita wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na lori lilisheheni kokoto waakati likijaribu kukwepa mwendesha pikipiki kisha kuacha njia na kupinduka na kuwaangukia watembea na kuwabana kwa masaa kadhaa katika eneo la msamvu mjini Morogoro.
Vilio na mazonzi vilitawala katika eneo la tukio la ajali wakati zoezi la kuokoa mtu aliebanwa na gari likiendelea ambapo kamanda polisi mkoa wa Morogoro Lenarld Paul akizungumza katika eneo la tukio amesema chanzo...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-7-17Ut3vwp*e-E2og6MNjcG1-dkfdefAwQlSXgG-QHdzs6I-0JMtEv4gPOUnJ4BorqaARGw0IPpmd-fofC5J0EQCJdZDLAn/LOLI.jpg?width=650)
LORI LA MAFUTA LAUA 70 NIGERIA
10 years ago
Dewji Blog15 Oct
Lori la mafuta laua na kujeruhi Dar
Kaimu Kamanda wa Polisi Temeke, Nyigesa Wankyo.
Na Mwandishi wetu
Moto mkubwa umeua mtu mmoja na kujeruhi wengine 19 waliokuwa wanachota mafuta ya petroli yaliyomwagika baada ya lori kupinduka eneo la Mbagala rangi tatu.
Tukio hilo linadaiwa kutokea kati ya saa 4:40 – 5.15 usiku wakati lori hilo liliposhindwa kukata kona kwenye mzunguko wa Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam na kuanguka kwenye mtaro.
Kaimu Kamanda wa Polisi Temeke, Nyigesa Wankyo alimtaja aliyekufa katika tukio hilo...
9 years ago
Mwananchi09 Oct
Lori laua watu saba Mbeya
10 years ago
Mwananchi20 Feb
Lori la mafuta lalipuka, laua watatu Mbeya
10 years ago
Habarileo16 Dec
Lori lililobeba maiti laua waombolezaji 5, lajeruhi 36
WATU watano wamekufa na wengine 36 kujeruhiwa baada ya lori walilokuwa wakisafiria kwenda msibani kupata hitilafu katika mfumo wa breki na kisha kutumbukia kwenye korongo.
10 years ago
Habarileo15 Oct
Lori la mafuta laua 3, lateketeza baa, gesti
MATARAJIO ya neema ya kujipatia mafuta ya 'dezo’ kutoka katika lori lililoanguka eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam, juzi usiku yaligeuka majuto na kuibua vilio na simanzi, baada ya kulipuka na kusababisha maafa, ikiwa ni pamoja na vifo vya watu watatu, huku wengine saba wakijeruhiwa vibaya.
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Lori la mafuta lalipuka laua, lajeruhi 19 Dar
11 years ago
Habarileo21 Jun
Lori laharibu daraja Dar, laua mmoja
MTU mmoja amekufa na wengine sita wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepanda kutumbukia kwenye Daraja la Kinyerezi jijini Dar es Salaam.
10 years ago
CloudsFM16 Dec
Lori lililobeba maiti laua waombolezaji watano, lajeruhi 36
WATU watano wamekufa na wengine 36 kujeruhiwa baada ya lori walilokuwa wakisafiria kwenda msibani kupata hitilafu katika mfumo wa breki na kisha kutumbukia kwenye korongo.
Taarifa zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi zilieleza kuwa ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa nane mchana katika mteremko wa Kanyegele, Kata ya Ntokela wilayani Rungwe.
Kamanda Msangi alisema lori hilo aina ya Mitsubishi Fuso yenye namba za usajili T143 ACR lilikuwa likitokea Ilemi jijini...