Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama ajifungulia barabarani New York

Mwanamke mmoja muingereza amejifungulia katika barabara moja mjini New York akiwa njiani kuelekea hospitalini

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

JIJI LA WATU WASIO LALA NEW YORK LIKIWA HALINA WATU BARABARANI WAKATI TUFANI ILIPOANZA KUANGUKA

Hapa ni Radio Cty New York jiji jeupe kila mtu ndani theluji iliyoambatana na upepo ilizima mbio mbio zote za sifa ya jiji la wasiyo lala mbona kila mtu alilala bila kupenda chezea mother nature wewe. 5 Avenue barabara nyeupe kama siyo New York vile Hali ilikuwa mbaya sana na kusababisha shughuli nyingi kusimama nje na ndani Jamaa akijaribu kupita huku na kule kuona kama atapata kakibarua ka kuzoa theluji vibarazani kwa watuKwa picha zaidi bofya soma zaidi


 

11 years ago

GPL

MJAMZITO AJIFUNGULIA KWENYE KOKOTO

Stori: Gordon Kalulunga, Mbeya
MASIKINI! Mama mjamzito aliyetambulika kwa jina la Sabina Mwakyusa (28), mkazi wa Kijiji cha Iwala, Kata ya Utengule Usongwe wilayani Mbalizi mkoani hapa anadaiwa kujifungulia nje kwenye kokoto. INASIKITISHA
Tukio hilo la kufungia mwaka lilijiri nje ya Hospitali Teule ya Ifisi-Mbalizi hivi karibuni na kusababisha masikitiko makubwa kwa mashuhuda waliodai kuwa ishu hiyo ni kali ya kufungia mwaka...

 

11 years ago

Michuzi

Shughuli za Msiba wa Mama Theonestina Rweyemamu new york, MAREKANI

Shughuli za Msiba wa Mama Theonestina Rweyemamu zinaendelea vizuri. Leo kutakuwa na misa ya Kumwombea Marehemu saa nne asubuhi kule Mount Vernon, New York na Anwani ya Kanisa ni kama ifuatavyo: The Sacred Heart Church, 115 Sharpe Blvd, South Mount Vernon, NY 10550. Jana heshima za mwisho zilitolewa ambapo Watanzania wengi walifika kuuaga mwili wa Marehemu pale Camelot Funeral Home, 174 Stevens Avenue, Mount Vernon, NY 10550. Chini ni taswira za picha za jana ni kama ifuatavyo: Sehemu ya...

 

10 years ago

Vijimambo

KISOMO CHA MAMA MWANAKONDO MOHAMED JUMBE, NEW YORK

Latifa(kushoto) katika picha ya pamoja na ndugu zake kwenye kisomo cha mpendwa mama yake Mwanakondo Mohamed Jumbe kilichofanyika siku ya Jumamosi Novemba 16, 2014 jijini New Yeork jimbo la New York nchini Marekani.Watanzania wa New York wakijumuika pamoja na Latifa kwenye kisomo cha mpendwa mama yake Mwanakondo Mohamed Jumbe kilichofannyika siku ya Jumamosi Novemba 16, 2014 NYC, New York nchini Marekani.Ndugu, jamaa na marafiki wa familia wakiwa katika picha ya pamojaKwa picha zaidi bofya...

 

11 years ago

GPL

MJAMZITO ASALITI NDOA, AJIFUNGULIA GESTI

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro MJAMZITO wa miezi saba Bi. Mwanaidi Athumani mkazi wa Chamwino Morogoro hivi karibuni alifanya mchepuko wa kutoka nje ya ndoa na kujikuta akijifungua mtoto wa kiume ndani ya gesti iliyopo maeneo ya Mafisa mjini hapa, Risasi Mchanganyiko lina data za kutosha. Habari zinasema kuwa mwanamke huyo alifanya mchepuko huo baada ya mumewe kusafiri kwenda kutafuta fedha za maandalizi ya kujifungua kwake....

 

11 years ago

GPL

HITMA YA MAMA YAKE LATIFA MAUNDI NEW YORK CITY‏

                      Wafiwa- Bahia,Hamisa na Latifa katika picha na Mdau wa NY
                            Kama Unavyoona Watoto Pia walikuwepo…

 

11 years ago

Michuzi

Maendeleo ya Taarifa ya Msiba wa mama Theonestina Rweyemamu huko new york, marekani

Kufuatia taarifa ya msiba tuliyowatumia jana, tunapenda kuwakumbusha kwamba watoto wa marehemu na ndugu na jamaa watakuwepo nyumbani leo na mnaweza kwenda kuwafariji na kutoa rambi rambi zenu wakati wowote. Address ni:  40 East Sidney Avenue,  Apt # 10C , Mount Vernon,  NY 10550.  Na namba ya simu ya nyumbani ni 914-667-6456. 
Bado harambe ya kutafuta dolla 10,000 za kufanikisha mipango ya mazishi inaendelea.  Tunawaomba mtafute walau muda mchache mweze kujumuika na Watanzania wenzetu...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MKUTANO WA AFYA KUHUSU SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI, MATITI NA TEZI HUKO NEW YORK.

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa kikao cha Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kichozungumzia masuala ya saratani ya shingo ya kizazi, saratani ya matiti na saratani ya tezi la kiume huko New York tarehe 24.9.2014. 
 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mama Penehupifo Pohamba, Mke wa Rais wa Namibia muda mfupi kabla ya kuhudhuria mkutano Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani