Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Auawa baada ya kuwachoma visu wenzake kwenye daladala

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura
By Pamela Chilongola, Mwananchi

Dar es Salaam. Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Mosha Mahona ameuawa na wananchi baada ya kuwachoma kwa kisu abiria watano waliokuwa kwenye daladala linalofanya safari zake kati ya Posta na Ubungo Simu 2000.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi saa moja usiku katika eneo la Magomeni Usalama na Mahona aliuawa kwa kushambuliwa na wananchi baada ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Auawa baada ya kuwachoma visu wenzake kwenye daladala

>Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Mosha Mahona ameuawa na wananchi baada ya kuwachoma kwa kisu abiria watano waliokuwa kwenye daladala linalofanya safari zake kati ya Posta na Ubungo Simu 2000.

 

11 years ago

GPL

MAUAJI SIKUKUU! MCHUMBA AUAWA KWA KUCHOMWA VISU

Stori: Gabriel Ng’osha na Denis Mtima
SIKU mbili kabla ya Sikukuu ya Eid el Fitr, binti aliyefahamika kwa jina la Salma Khamis (21) (pichani), amekumbwa na mauti kufuatia kuchomwa visu mwilini na mchumba wake aliyetajwa kwa jina la Omary Idd. Binti anayefahamika kwa jina la Salma Khamis (21) aliyechomwa kisu na mchumba wake,Omary Idd Tukio hilo… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Trafiki afa baada ya kukamata daladala

Ofisa wa polisi mwenye cheo cha Koplo, Wilson Mwakipesile wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Kilimanjaro amefariki dunia ghafla akiwa ndani ya daladala alilokuwa amelikamata.

 

10 years ago

GPL

BAADA YA TAMKO LA WAZIRI DALADALA JIJINI DAR ZAANZA KAZI

Basi ndogo za daladala zikionekana kuanza kusafirisha abiria jioni hii Gari la daladala likiwa na abiria likitokea Kituo cha Makumbusho kuelekea Barabara ya Shekilango.…

 

11 years ago

Mwananchi

Auawa baada ya kufumaniwa

Mbeya. Watu wawili wamefariki dunia katika matukio mawili likiwamo la mwanamke kuuawa kwa kipigo baada ya kukutwa akifanya uzinzi na mtu anayedaiwa kuwa ni binamu yake.

 

10 years ago

Vijimambo

Ukweli Kuhusu Tevez Aliyekatwa Uume Wake Baada ya Kuwazulumu Madawa ya Kulevya Wenzake

HABARI ZA UHAKIKA JUU YA SAKATA LA JUMAANNE TEVEZ. Nikweli kwamba huyu bwana yuko South Africa Pretoria. Bwana Tevez alodhaminiwa mzigo na vijana wenzake huko Bondeni kwamba akauze kisha alete Mpunga. Mdhamini alikuwa ni Kijana wa Kibongo anayeonekana pichani anayeitwa Jeff Katili mtoto wa Ilala ambaye maskani yake ni South. TEVEZ baada ya kuchukua mzigo uliokuwa na thamani ya takriban milioni mia moja na hamsini (150,000,000/=) aliingia mitini hakurudi tena. Kilichotokea Jeff baada ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Auawa baada ya kuwacharanga mapanga polisi

Mtu mmoja ameuawa na wananchi baada ya kuwajeruhi askari wawili kwa panga katika Kituo cha Polisi Butiama, Kata ya Makongoro, Wilaya ya Butiama mkoani Mara.

 

10 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa auawa baada ya kushindwa kujieleza

MTU mmoja mwenye umri kati ya miaka 25 na 30 ambaye jina lake halifahamiki, ameuawa baada ya kushindwa kujieleza juu ya pikipiki ambayo yeye na mwenzake walikuwa wanajaribu kuiuza Chalinze.

 

10 years ago

Habarileo

Mwanafunzi auawa baada ya kukutwa na barua ya mapenzi

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa , Jacob MwaruandaMWANAFUNZI wa Kidato cha Pili, Jofrey Robert Mwakatenya (15) anatuhumiwa kuuawa kikatili na baba yake mzazi, Robert Mwakatenya (35) baada ya kumkuta akiwa na barua ya mapenzi, inayodaiwa aliandikiwa na rafiki wake wa kike.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani