Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAADA YA TAMKO LA WAZIRI DALADALA JIJINI DAR ZAANZA KAZI

Basi ndogo za daladala zikionekana kuanza kusafirisha abiria jioni hii Gari la daladala likiwa na abiria likitokea Kituo cha Makumbusho kuelekea Barabara ya Shekilango.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Kazi na Ajira atembelea Banda la GEPF kwenye maonyesho ya Sabasaba jijini Dar leo

Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudentia Kabaka akisaini katika kitabu cha wageni wakati alipotembelea katika banda la Mfuko wa Mafao ya Kustaafu wa GEPF,kwenye Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es salaam leo.Mwenye Fulana nyeusi ni Meneja Masoko na huduma kwa wateja katika Mfuko wa Mafao ya Kustaafu wa GEPF Bw Aloyce Best Ntukamazina. Meneja Masoko na huduma kwa wateja katika Mfuko wa Mafao ya Kustaafu wa GEPF,Bw. Aloyce Best Ntukamazina akitoa maelezo ya kina kwa...

 

9 years ago

Michuzi

FEDHA ZA 9 DISEMBA ZAANZA UJENZI WA KUPANUA BARABARA MWENGE-MOROCCO JIJINI DAR


Scaveter ikisafisha sehemu ya barabara kuanzia Mwenge hadi Morocco kwaajili ya upanuzi wa barabara mbili zinazojengwa kwa fedha ambazo zilitakiwa kutumika katika kusherekea sherehe za uhuru ambazo hufanyika kila mwaka Disemba 9 ikiwa ni kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Joseph Magufuli, kazi hiyo imeanza kutekelezwa leo jijini Dar es Salaam.Vijana wakigombania bango ambalo limevunjwa katika upanuzi wa barabara kuanzia Mwenge hadi Morocco leo jijini Dar...

 

11 years ago

GPL

KITUO KIPYA CHA DALADALA CHAANZA KAZI DAR

Abiria wakipanda daladala. Askari wa usalaama…

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA NDANI YA DALADALA JIJINI DAR LEO

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Bi. Kulwa Juma ambaye ni mfanyabiashara ndogo ndogo ya kuuza Mihogo ya Kukaanga katika Kituo cha Mabasi cha Gongo la Mboto mwisho, Jijini Dar es salaam leo, wakati alipofanya ziara ya kushtukiza eneo hilo ili kujionea hali halishi ya biashara ndogo ndogo. Mh. Lowassa aliianza ziara yake eneo hilo la Gongo la Mboto na baadae alipanda daladala mpaka Pugu Kajiungeni, jijini...

 

10 years ago

Vijimambo

MADEREVA WA DALADALA JIJINI DAR WAFANYA MGOMO LEO

 Umati wa abiria wakiwa kwenye kituo cha daladala cha Darajani-Ubungu huku kukiwa hakuna daladala yoyote inayofanya kazi baada ya kutokea kwa mgomo wa madereva wa Daladala jijini Dar. Baadhi ya abiria wakiwa wamepanda magari ya mizigo baada ya kukosekana kwa daladala maeneo yote ya jiji la Dar es Salaam leo asubuhi.

 Mmoja wa abiria akiongea na dereva wa kibasi kidogo kuangalia kama kuna uwezekano wa kupata usafiri maeneo ya Mwenge jijini Dar.
 Katika kituo cha mabasi cha Mpakani eneo la...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE ZA LOWASSA NDANI YA DALADALA JIJINI DAR LEO

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwa ndani ya Daladala alilopanda kutokea Gongo la Mboto Mwisho mpaka Pugu Kajiungeni jijini Dar es salaam,mapema leo asubuhi.
Mh. Lowassa akishuka kwenye daladala.Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Bi. Kulwa Juma ambaye ni mfanyabiashara ndogo ndogo ya kuuza Mihogo ya Kukaanga katika Kituo cha...

 

11 years ago

GPL

KITUO KIPYA KILICHOSUSIWA NA MADEREVA DALADALA UBUNGO JIJINI DAR

Eneo la kituo kipya kilichopo nyuma ya jengo la Mawasiliano Tower. Wamiliki na madereva wanayofanya safari zake kati ya Ubungo na Mwenge jijini Dar leo wamegomea amri ya kutumia kituo kipya walichoamriwa na serikali kukitumia kilichopo nyuma ya jengo la Mawasiliano Tower, Ubungo jijini Dar. Mwanahabari wetu alitembelea kituo hicho na kukuta mafundi wakiendelea na ujenzi huku kukiwa na marundo ya vifusi. PICHA NA RICHARD BUKOS...

 

10 years ago

GPL

DALADALA LAACHA NJIA NA KUPARAMIA GENGE NA BAJAJ MAENEO YA KITUNDA JIJINI DAR



 Wananchi wakiangalia ajali ya daladala lenye namba za usajili T 456 BVT lililoacha njia kutokana na mwendokasi na kuparamia genge na bajaj yenye namba MC 611 ADC, maeneo ya Kitunda relini barabara ya Mombasa kwenda Moshi Baa Dar es Salaam leo asubuhi. Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa daladala kukimbilia abiria. Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa.

 wananchi wakiangalia ajali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani