PICHA ZINGINE ZA LOWASSA NDANI YA DALADALA JIJINI DAR LEO

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwa ndani ya Daladala alilopanda kutokea Gongo la Mboto Mwisho mpaka Pugu Kajiungeni jijini Dar es salaam,mapema leo asubuhi.
Mh. Lowassa akishuka kwenye daladala.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Bi. Kulwa Juma ambaye ni mfanyabiashara ndogo ndogo ya kuuza Mihogo ya Kukaanga katika Kituo cha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
LOWASSA NDANI YA DALADALA JIJINI DAR LEO

10 years ago
Vijimambo
PICHA ZINGINE ZA UKAWA WAZINDUA KAMPENI ZAO JANGWANI JIJINI DAR LEO





10 years ago
Michuzi
LOWASSA APANDA DALADALA KUTOKA GONGO LA MBOTO MPAKA PUGU KAJIUNGENI JIJINI DAR LEO

10 years ago
VijimamboMADEREVA WA DALADALA JIJINI DAR WAFANYA MGOMO LEO
10 years ago
MichuziDALADALA LAACHA NJIA NA KUPARAMIA GENGE NA BAJAJ MAENEO YA KITUNDA JIJINI DAR ES SALAAM LEO ASUBUHI
KWA PICHA ZAIDI BOFYA...
11 years ago
Dewji Blog13 Jun
Njoo tucheze “Kikuku” style zingine kibao na Skylight Band ndani ya Thai Village leo
Vijana watanashati wa Skylight Band: Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village -Masaki jijini Dar. LEO PIA SIO YA KUKOSA ITAKUWA ZAIDI YA JANA..!
Maman nangayi e napeli moto…maman nanga a napeli moto (x2)…Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo sambamba na Aneth Kushaba AK 47 wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band.
Aneth Kushaba AK47 kwenye hisia kali.
Nani kama...
10 years ago
Michuzi
LOWASSA AHUTUBIA BARAZA LA WANAWAKE WA CHADEMA LEO JIJINI DAR


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Lipumba,wafuasi 32 wa CUF watiwa ndani Jijini Dar leo
10 years ago
Michuzi
LOWASSA AWASILI MAKAO MAKUU YA CHADEMA KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS NDANI YA CHAMA HICHO HIVI PUNDE JIJINI DAR

