Auawa baada ya kufumaniwa
Mbeya. Watu wawili wamefariki dunia katika matukio mawili likiwamo la mwanamke kuuawa kwa kipigo baada ya kukutwa akifanya uzinzi na mtu anayedaiwa kuwa ni binamu yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania03 Jan
Kijana apigwa kisu baada ya kufumaniwa,
Asifiwe George na Mwajabu Kusupa (TEC), Dar es Salaam
HEKAHEKA za sikukuu ya mwaka mpya wa 2015 jijini Dar es Salaam zimeacha alama ya matukio kadhaa mbali na taarifa za watu 87 kujeruhiwa kwa ajali wakati wa mkesha, pia yapo matukio mengine mawili likiwemo la kijana wa miaka 18 kuuawa baada ya kufumaniwa.
Kabla ya taarifa hizi mpya juzi gazeti la MTANZANIA liliripoti juu ya kutokea kwa ajali katika maeneo tofauti tofauti zilizosababisha watu 87 kujeruhiwa wakiwa katika harakati za...
10 years ago
Bongo Movies26 Dec
TETESI:Patcho Mwamba Apokea Kichapo Kizito Baada ya Kufumaniwa na Mke wa Mtu
Inasemekana kuwa mwigizaji na mwanamuziki wa Dansi Patcho Mwamba, amepewa kipigo cha nguvu hadi kumvimbisha uso kama unavyomuona hapo juu, baada ya kufumaniwa na mke wa mtu.
Habari hizi zinaenea kwa kasi zaidi mtandaoni kama moto wa vifuu…hakuna taarifa rasmi juu ya kinanani ,na wapi hasa tukilo hilimetokea,japokuwa inasemekanai ni siku ya krismas (jana) .Hadi sasa sio Patcho mwenyewe au watu wake wakaribu hawajajitokeza kukanusha taarifa hizi.
10 years ago
CloudsFM31 Dec
PATCHO MWAMBA AMSAMEHE ALIMZUSHIA KUWA AMEPIGWA BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU
Msanii maarufu wa bendi na ambaye pia muigizaji wa Bongo Movie, Patcho Mwamba amemsamehe aliyemzushia kuwa amepigwa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu kwenye hotel ya Sinza.
Kupitia Uheard ya Clouds fm na Soudy Brown Patcho alitangaza kuwa ataenda sambamba na wote waliomzushia kufumaniwa na kuingiliwa...
11 years ago
Bongo506 Aug
New Music Video: Hussein Machozi aachia video mpya ya ‘Harusi’ baada ya mkasa wa kudaiwa kufumaniwa Kenya
10 years ago
Habarileo28 Sep
Mtuhumiwa auawa baada ya kushindwa kujieleza
MTU mmoja mwenye umri kati ya miaka 25 na 30 ambaye jina lake halifahamiki, ameuawa baada ya kushindwa kujieleza juu ya pikipiki ambayo yeye na mwenzake walikuwa wanajaribu kuiuza Chalinze.
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Auawa baada ya kuwacharanga mapanga polisi
10 years ago
Habarileo30 Apr
Mwanafunzi auawa baada ya kukutwa na barua ya mapenzi
MWANAFUNZI wa Kidato cha Pili, Jofrey Robert Mwakatenya (15) anatuhumiwa kuuawa kikatili na baba yake mzazi, Robert Mwakatenya (35) baada ya kumkuta akiwa na barua ya mapenzi, inayodaiwa aliandikiwa na rafiki wake wa kike.
10 years ago
Vijimambo24 Jul
Auawa baada ya kuwachoma visu wenzake kwenye daladala
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2805486/highRes/1069784/-/maxw/600/-/qejcs8z/-/pic_kisu.jpg)
By Pamela Chilongola, Mwananchi
Dar es Salaam. Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Mosha Mahona ameuawa na wananchi baada ya kuwachoma kwa kisu abiria watano waliokuwa kwenye daladala linalofanya safari zake kati ya Posta na Ubungo Simu 2000.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi saa moja usiku katika eneo la Magomeni Usalama na Mahona aliuawa kwa kushambuliwa na wananchi baada ya...
10 years ago
Mwananchi24 Jul
Auawa baada ya kuwachoma visu wenzake kwenye daladala