AIBU! TICHA MBARONI KWA KUMUUZISHA MTOTO MAYAI MUDA WA SHULE
![](http://api.ning.com:80/files/cGEsfZahF3shJE2FFRysrFcoFtr4oFjP7JhD3NWfvaWXPGHf1iOOSV6G6c0iK27JBJNmeKw6eKWe3tI7dh9wEOyJJSsGTUZu/BACK..jpg?width=650)
Deogratius Mongela na Chande Abdallah MATUKIO ya mateso, unyanyasaji na utumwa kwa watoto yanashika kasi nchini! Safari hii mwalimu wa shule moja ya msingi iliyopo Mburahati jijini Dar aliyetajwa kwa jina moja la Lucy ametia aibu baada ya kutiwa mbaroni katika Kituo cha Polisi cha Magomeni, Dar akituhumiwa kumtumikisha mtoto mwenye umri wa miaka 12 aitwaye Sakina kwa kumuuzisha mayai ya kuchemsha na soseji. Mwalimu huyo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8l--NuzR*jGMps4Er9pXqeTJ-y6YNN93AjPr1QY7omOhDiJY9F2FxEtOrQSuRq1Mzo9IZhMONRa8dsY5rHHO-XTq6Qif35DB/aibu.jpg?width=650)
AIBU TICHA WA TRA
9 years ago
Mwananchi26 Nov
Kufungwa shule kwa kukosa choo ni aibu
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Mtoto azaliwa kutokana na mayai yaliohifadhiwa
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Mwanamke mbaroni kwa kuchinja mtoto
10 years ago
Habarileo30 Aug
Mbaroni kwa kumfukia mtoto shimoni
FAIDA Mohammed Salum (28) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumtupa mtoto mchanga aliyejifungua siku moja tu na kumfukia shimoni eneo la Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Wazazi Geita mbaroni kwa kutopeleka watoto shule
WAZAZI watano mkoani Geita wamekamatwa na Polisi kwa kugoma kuwapeleka watoto wao shule na kuwalazimisha kuwaoza. Hatua hiyo inatokana na agizo la Mkuu wa Mkoa wa Geita, Saisi Magalula, la...
10 years ago
Mwananchi16 Nov
Mbaroni kwa kumbaka mtoto wa jirani yake
11 years ago
Mwananchi15 May
Mbaroni kwa kumnajisi mtoto msikitini Liwale