MAMA MTOTO: NILITOLEWA UBIKIRA NA WIZKID
![](http://api.ning.com:80/files/jK7-NTyuxfCb7eu7rScs47q2l5uEsWaXTHle2v7S863ZCnwFcZAEB9g-PF5VEbH28pZIJqkI5OtXFS6nbyVIoPa5K3Twz84u/11117149_839040246170134_891223704_n.jpg?width=650)
MAMA wa mtoto wa mwanamuziki Wizkid wa Nigeria aitwaye, Sola Ogudugu, amefichua kwamba mara yake ya kwanza kufanya mapenzi ni pale alipokutana na mwanamuziki huyo. Sola Ogudugu akiwa na mwanaye. Ogudugu alifichua hilo akiongea na gazeti la Ynaija hivi karibuni, ambapo aliendelea kusema kwamba baada ya kufanya naye mapenzi mara moja hakufahamu kwamba tayari alikuwa na ujauzito ambao haukuufahamu hadi miezi kadhaa ilipopita....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-bkRGK8_6IEA/UxrR5XihF1I/AAAAAAAAhZ0/Dj9FRfIW5Zg/s1600/IMG-20140308-WA0002.jpg?width=640)
MAMA MKUBWA WA MTOTO ALIYEUNGUA MOTO ATOWEKA NA MTOTO HUYO KUSIKO JULIKANA.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Ay_N8iFO_cs/VYpB7K-SYqI/AAAAAAABQjs/z-sMB7LX0Xw/s72-c/Sugu%2Bna%2BSasha.jpg)
SUGU ASHINDA KESI DHIDI YA MAMA MTOTO WAKE FAIZA, MAHAKAMA YAAMUA APEWE MTOTO
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ay_N8iFO_cs/VYpB7K-SYqI/AAAAAAABQjs/z-sMB7LX0Xw/s640/Sugu%2Bna%2BSasha.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-TLBch-xO68U/VYpB4vR4EdI/AAAAAAABQjk/mStD8WmafcU/s640/Faiza%2BAlly%2Bna%2BSasha.jpg)
Hiki ndicho amekiandika...
11 years ago
BBCSwahili23 Jul
Je sabuni inaweza kurejesha ubikira?
10 years ago
BBCSwahili26 Feb
Ajitolea kutoa ubikira siku ya wanawake
11 years ago
Habarileo04 Feb
‘Sabuni za kurudisha ubikira balaa'
WANAWAKE wameshauriwa kuacha kutumia sabuni za kunawia sehemu za siri ambazo hudaiwa kurejesha ubikira kwani zina madhara makubwa ikiwemo kusababisha kansa ya shingo ya kizazi. Mkaguzi wa Dawa na Mfamasia wa Manispaa ya Dodoma Daria Mwanuka alisema hayo mwishoni mwa wiki katika mahojiano na mwandishi wa habari hizi wakati wa uteketezaji dawa, vipodozi na vyakula visivyofaa kwa matumizi ya binadamu.