Mama mzazi wa Tido Mhando azikwa Tanga
Askofu mstaafu wa Anglikana Dayosisi ya Tanga, Phillip Baji ameongoza jopo la mapadri wa kanisa hilo mkoani Tanga katika maziko ya mama mzazi wa Mkurugenzi wa Kampuni ya MwananchiCommunications Ltd, Tido Mhando, Jessie Nemganga Mhando (85) aliyezikwa katika makaburi ya Kanisa la Kristo Mfalme.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLEDWARD LOWASSA AOMBOLEZA KIFO CHA MAMA MZAZI WA TIDO MHANDO
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya msiba wa mama yake Tido Mhando Chang'ombe jijini Dar es Salaam jana. Aliyesimama pembeni ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL), Tido Mhando.
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Tido afiwa na mama yake mzazi
Mama mzazi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Tido Mhando, Jessie (85), amefariki dunia jana asubuhi Chang’ombe Dar es Salaam kwa ugonjwa wa moyo.
10 years ago
Mwananchi16 Nov
Tido Mhando:Ziara ya Kinshasa
Kwa muda wa karibu miaka miwili sasa, mwandishi wa habari wa muda mrefu, Tido Mhando, amekuwa akiandika simulizi zake hizi kutokana na mengi aliyokutana nayo katika kipindi kirefu cha kufanya kazi hii, hasa kama mtangazaji wa redio.
11 years ago
Mwananchi23 Feb
Tido Mhando:Mbio za sakafuni
Kwenye hii safu yake ya kila Jumapili, Tido Mhando anasimulia kwa muhtasari tu, mengi aliyokutana nayo kwenye kazi ya utangazaji wa redio aliyoifanya kwa zaidi ya miaka 40.
10 years ago
Vijimambo11 years ago
Mwananchi16 Feb
Tido Mhando:Mazungumzo ya wasiwasi
Niliingia kwenye mgahawa huo kwa tahadhari kubwa sana nikimfuata nyuma aliyekuwa mwenyeji wangu pale, Hatty MacGhee, ambaye ndiye aliyenipigia kelele za kuniita wakati nikipita nje ya mgahawa huu uliopo eneo la maduka mengi yanayomilikiwa na wafanyabiashara wa Kihindi.
11 years ago
Mwananchi19 Jan
Tido Mhando:Awamu ya pili
Kwenye makala zake hizi za kila wiki, Tido Mhando ambaye amefanya kazi ya utangazaji wa redio kwa muda mrefu sana anahadithia baadhi tu ya mambo aliyokabiliana nayo kwenye kipindi chote hicho cha zaidi ya miaka 45 sasa.
11 years ago
Mwananchi09 Feb
Tido Mhando:Mkutano wa dharura
Mwanzoni mwa mwaka huu, Tido Mhando alitimiza miaka 45 katika tasnia ya habari, ambapo ndani ya muda huo, kwa kipindi kirefu alikuwa zaidi kwenye fani ya utangazaji wa redio.
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Tido Mhando:Uhasama zaidi
Kama kulikuwa na mwaka ambao labda ungeelezewa kuwa ndiyo kilele cha uhasama uliokuwepo baina ya Tanzania na Kenya, basi ulikuwa ni mwaka huo wa 1982.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania