Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE AFARIKI DUNIA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Zuberi Kabwe, Bi. Shida wakati alipokuwa amelazwa ICU katika Hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam hivi karibuni. MAMA mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, Bi. Shida amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya AMI jijini Dar es… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mama mzazi wa Mh. Zitto Kabwe afariki dunia

SAM_2464

Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, asubui hii amefiwa na mama yake mzazi Bi Shida Salum, aliyeugua kwa muda mrefu.

Pichani ni Mama mzazi wa Zitto Kabwe enzi za uhai wake.

Taarifa ya msiba huu imethibitishwa na yeye mwenye Zitto Kabwe kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter kama inavyosomeka hapo chini.

1401611667127

MO BLOG tunatoa pole kwa Zitto Kabwe, familia na wote walioguswa na msiba huu Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.

 

11 years ago

Michuzi

News alert: Mama Mzazi wa Mhe Zitto Kabwe Afariki dunia

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Kabwe akiwa na mama yake Mama  Bi. Shida Salum, enzi za uhai wake. Mhe. Zitto kupitia mtandao wa Twitter amearifu kuwa mama amefariki dunia leo.

 

11 years ago

Habarileo

Mama mzazi wa Zitto afariki dunia

MAMA mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, Shida Salum, amefariki dunia baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na maradhi ya saratani.

 

11 years ago

Michuzi

JK amjulia hali mama mzazi wa Zitto Kabwe leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge  wa Kigoma Kaskazini  kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangilizi maalumu(ICU) hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam leo. Picha na Freddy Maro

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mama Zitto Kabwe afariki

BUNGE Maalum la Katiba limepata pigo baada ya kuondokewa na mjumbe wake, Shida Salum (64), ambaye ameugua kwa muda mrefu. Shida ambaye pia ni mama mzazi wa mbunge wa Kigoma...

 

11 years ago

CloudsFM

MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE ALAZWA ICU DAR AKISUMBULIWA NA MARADHI YA SARATANI

Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania, (Chawata), Shida Salum, ambaye pia ni mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini,Zito Kabwe yuko katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) katika Hospitali ya Ami, Masaki, Dar es Salaam akisumbuliwa na maradhi ya saratani.

Shida ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na mama mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amelazwa tangu juzi. Alianza kusumbuliwa na maradhi hayo mapema Agosti mwaka jana lakini hali yake...

 

9 years ago

GPL

TANZIA: MAMA MZAZI WA DOGO ASLAY AFARIKI DUNIA

Mama mzazi wa ‘Dogo Aslay’,  Moza Mohamed enzi za uhai wake. Mwimbaji wa Yamoto Band, Aslay Isihack ‘Dogo Aslay’ aliyefiwa na mama yake mzazi. Mama mzazi wa muimbaji wa Yamoto Band, Aslay Isihack ‘Dogo Aslay’, Moza Mohamed amefariki leo alfajiri katika Hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam alimokuwa amelazwa. Akizungumza na mwandishi wetu, Meneja wa Yamoto Band, Said Fella...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA: MAMA MZAZI WA SAID MDOE WA SALUTI5 AFARIKI DUNIA

MAMA mzazi wa mmiliki wa mtandao wa Saluti5, Said Mode - Bi Desta Mohamed - amefariki ghafla Jumatatu ya tarehe 31/3/2014 saa 1 za jioni.
 Alipata homa kali Jumapili mchana, akapelekwa hospitali (IMTU) akapata matibabu na kuruhusiwa kurudi nyumbani. Hali yake haikuwa mbaya wala ya kutia mashaka.
 Jumatatu akaamka vizuri na akashinda vizuri hadi saa 12 za jioni hali ipoanza kubadilika tena. Akafariki akiwa njiani kupelekwa hospitali. Msiba uko Dar es Salaam, Mbezi Beach Old...

 

11 years ago

Michuzi

mama mzazi wa mwanalibeneke Kazikupenda "KK" Chale afariki dunia leo

Mdau Kazikupenda Kk Chale anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Bi.Fides Chale (pichanii) kilichotokeo ghafla leo huko Nyumbani kwake Ubungo Msewe. Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwa mwanae, Ubungo-Msewe, Dar. Maziko yanatarajia kufanyika Dar. Taarifa zaidi zitotelewa baadae. Bwana ametoa, Bwana ametwaa 
jina la Bwana Lihimidiwe - Amen

KK anaendesha blog ya Tembea Tanzania BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani