Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA NA MWANA...

Staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael 'Lulu' akipata misosi na mama yake mzazi, Lucresia Karugila jijini Dar.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

POZI LA MAMA NA MWANA!

Staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' akiwa katika pozi na mama yake mzazi, Bi. Lucresia Karugila (kulia).

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA NA MWANA NDANI YA PAZI REUNION H-TOWN

Itika akiwa na mwanae wakihudhuria tamasha la Pazi Reunion lililofanyika leo Jumamosi March 14, 2015 Houston, Texas na kuungwa mkono na Watanzania kutoka kila kona nchini Marekani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Hatua zilizochukuliwa na shirika la feri baada ya mama na mwana kufa maji

Hatua zimechukuliwa na shirika la feri baada ya mama na mwana kufa maji nchini Kenya.

 

10 years ago

Bongo Movies

Ndani ya ‘Mama na Mwana’ Utasema Hakuna Binadamu Anayeishi Gizani Milele-Wastara

Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amedokeza kuwa filamu ya Mama na Mwana imebeba ujumbe mzito wenye mfunzo ya namnagani tuishi.

Kupitia ukurasa wake mtandaoni, wastara ameeleza;

Mama na Mwana ni filamu mpya inayotarajiwa kutoka hivi karibuni ina mafunzo na kuelemisha maana kila siku binaadam tunatakiwa kunifunza kupitia kitu fulan nasi tupo kwa ajili ya kuelekeza kuonya kumpa mtu moyo.

Ukiangalia hii movie utasema kuwa hakuna binaadamu anayeishi kizani milele one day one time basi hii...

 

9 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: MAMA REGINA LOWASSA USO KWA USO NA MWANA DIASPORA, LIBERATUS MWANG'OMBE

Mama Regina Lowassa leo alikuwa Chimala, Mbarali akimnadi mgombea ubunge jimbo la Mbarali, Liberatus Mwang'ombe "Libe". Akiongea na wana Mbarali mama Lowassa amesema mwang'ombe ni kijana mweledi, msomi, na mwenye maono na Mbarali; hivyo basi amewaomba wana Mbarali wasimpoteze Mh. Mwang'ombe. 
Mama Lowassa alishangazwa na umati uliojitokeza baada ya taarifa ya masaa matutu kuwa atasimama Chimala. Mh. Mwang'ombe akitoa shukrani zake kwa mama Lowassa kufika Mbarali alisema "Mbarali ina wapiga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani