Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mambo ya Ndani: Wafungwa hakuna faragha

Wizara ya Mambo ya Ndani imeendeleza msimamo wake kuwa, Tanzania bado haina sheria ya kuwaruhusu wafungwa gerezani kukutana faragha na wenza wao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI AZINDUA "MAGEREZA DUTY FREE SHOP" PAMOJA NA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MABAKULI YA WAFUNGWA GEREZA UKONGA, JIJINI DAR

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe(katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kiwanda cha kutengeneza Bakuli na Vikombe vitakavyokuwa vinatumika na Wafungwa Magerezani kulia chakula(wa kwanza kulia) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe(kushoto) akiwaonesha Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Dar es Salaam jiwe la msingi la Jengo la Magereza Duty Free Shop iliyopo Gereza...

 

10 years ago

GPL

HAKUNA ADHABUNYINGINE ZAIDI YA KUMKATALIA FARAGHA?- 2

Uhali gani msomaji wangu? Bila shaka kwa uwezo wa Mungu uko poa na unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku. Ni Ijumaa nyingine tunapokutana kwenye uwanja wetu huu mzuri.Wiki iliyopita tulianza kujadili mada ya baadhi ya wanawake kuwanyima tendo la ndoa waume zao kila wanapowaudhi. Nikushukuru wewe msomaji wangu uliyetuma ujumbe mfupi wa maandishi kuelezea mtazamo wako. Kimsingi nimejifunza kitu kwamba kumbe tatizo ni...

 

10 years ago

GPL

HAKUNA ADHABU NYINGINE ZAIDI YA KUMKATALIA FARAGHA?

Nisiku nyingine nzuri ya Ijumaa tunapokutana kwenye zulia zuri la mahaba, tukijuzana, kubadilishana mawazo na kuelimishana mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Ni matumaini yangu kwamba kwa uwezo wa Mungu uko poa kabisa, leo nataka tujadiliane kuhusu mada hii nyeti na muhimu kama inavyojieleza; hakuna adhabu nyingine ya kumpa mwenzi wako anapokukosea zaidi ya kumkatalia kuwa naye faragha? Nimesukumwa kuandika mada hii...

 

10 years ago

Vijimambo

HAKUNA ADHABU NYINGINE ZAIDI YA KUMKATALIA FARAGHA?- 2

Uhali gani msomaji wangu? Bila shaka kwa uwezo wa Mungu uko poa na unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku. Ni Ijumaa nyingine tunapokutana kwenye uwanja wetu huu mzuri.Wiki iliyopita tulianza kujadili mada ya baadhi ya wanawake kuwanyima tendo la ndoa waume zao kila wanapowaudhi.

Nikushukuru wewe msomaji wangu uliyetuma ujumbe mfupi wa maandishi kuelezea mtazamo wako. Kimsingi nimejifunza kitu kwamba kumbe tatizo ni kubwa kuliko hata nilivyokuwa nafikiri.

WENGI WANATESEKA
Wanaume wengi...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Katibu Mkuu wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo kabla ya kufungua mkutano wa siku moja wa baraza hilo unaofanyika katika Ukumbi wa Jeshi la Magereza, Ukonga, jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto meza kuu ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, John Mngodo, kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) tawi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Obeid Mbaga. Wapili kulia ni Katibu wa...

 

10 years ago

Michuzi

katibu mkuu wizara ya mambo ya ndani awatembelea wajumbe wa kikao kazi cha mambo ya ndani mjini morogoro

Katibu Mkuu wa wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abduwakil akizungumza na kuwapongeza wajumbe wa Kikao Kazi cha Uandaaji wa Mpango wa Ununuzi na Mpango Kazi wa wizara yake wa mwaka wa fedha 2015/2016 katika kazi hicho kinachoendelea mjini Morogoro.Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mwamini Malemi akitoa mwongozo wa majadiliano kwa Wakuu wa Idara, Maafisa Ununuzi, Maafisa Bajeti na Wakurugenzi Wasaidizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi baada ya kupokea taarifa ya...

 

9 years ago

GPL

MAMBO YANAYOFURAHISHA FARAGHA

ASANTE Mwenyezi Mungu kwa Jumatatu hii murua. Baada ya vuta nikuvute ya uchaguzi mkuu, hatimaye jana Watanzania tumetumia haki yetu ya kimsingi na kikatiba kumchagua kiongozi tumtakaye atakayeiongoza Tanzania kwa awamu ya tano. Tukiachana na siasa, tunakutana tena katika kilinge chetu hiki kama ilivyo ada, bado tunaendelea kujifunza namna mbalimbali ya kufanya tunapokuwa faragha na wenza wetu. Kwa kifupi mada hii ya faragha...

 

9 years ago

GPL

MAMBO YANAYOFURAHISHA FARAGHA-2

KWANZA nianze kwa kuwashukuru wafuasi na wasio wafuasi wa vyama vya siasa nchini kwa kumaliza uchaguzi mkuu kwa amani. Kwa uchaguzi huu nimejifunza kitu kuwa kumbe Watanzania tunu yetu kubwa tuliyojaliwa na Mungu ni amani, amani ndiyo imenifanya leo uweze kusoma mada hii ya mambo yanayofaa faragha Wiki iliyopita tulizungumzia kipengele kimoja cha sauti za kubembeleza leo nitaendelea na mambo mengine mazuri mnapokuwa faragha;...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani