Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mamia wamzika Makaidi Dar

MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa anayeungwa mkono na vyama vinne vya upinzani (Ukawa), ameongoza mamia na wananchi katika maziko ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha National League for Democracy (NLD), Dk Emmanuel Makaidi (74).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAMIA WAMZIKA MSANII BI. NYAKOMBA JIJINI DAR

Jeneza lenye mwili wa Bi. Nyakomba likiingizwa kaburini. Mamia ya watu waliofika katika Makaburi ya Chang'ombe, Dar kumzika Bi. Nyakomba. Padri Justin Tesha…

 

11 years ago

GPL

MAMIA WAMZIKA MZEE SMALL MAKABURI YA SEGEREA, DAR

Jeneza la Mzee Small likiombewa.   Jeneza likipelekwa kwenye gari.
...Llikiwekwa ndani ya gari.…

 

10 years ago

StarTV

Lowassa aongoza mamia kuaga mwili wa Makaidi Dar.

Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anayeungwa Mkono na Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA , Edward Lowassa ameongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar Es Salaam kuuaga Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NLD na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, Dkt Emmanuel Makaidi.

Marehemu Emmanuel Makaidi alifariki Dunia Octoba 15 katika Hospitali ya Nyagao iliyopo Mkoani Lindi alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa Shinikizo la Juu la Damu.

Katika...

 

10 years ago

GPL

MAMIA WAMZIKA BABA MZAZI WA DULLY SYKES MAKABURI YA KISUTU, DAR

Mwili wa marehemu Ebby Sykes yaliyofanyika jana ukiwa  kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Wakati wa mazishi jana.…

 

11 years ago

Michuzi

Mamia wamzika bondia mkongwe Iraq Hudu jijini Dar es salaam leo

Na Francis Dande MAMIA ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaamna vitongoji vyake, wakiwemo wanamichezo, leo wamejitokeza katika mazishi ya bondia wa zamani wa masumbwi ya kulipwa, Iraq Hudu (49). Marehemu Hudu, maarufu kama ‘Kimbunga’, aliyefariki dunia Ijumaa mjini Dar es Salaam, amezikwa leo  majira ya saa 10:00 alasiri katika makaburi ya Kisutu, jijini Dar es Salaam.

Bondia huyo aliyewahi kutamba vilivyo katika ulingo wa masumbwi, alifariki alfajiri ya Ijumaa katika hospitali ya Hindu...

 

5 years ago

Michuzi

MAMIA YA WAOMBOLEZAJI WAMZIKA MAREHEMU IDD SIMBA MAKABURI YA MAGOMENI MWINYIMKUU DAR

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii

MAMIA ya waombolezaji wakiwemo viongozi wa ngazi mbalimbali wa wastaafu katika Serikali zilizopita wamesheriki kwenye mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Baishara katika Serikali ya Awamu ya Tatu marehemu Iddi Simba.

Mzee Simba amezikwa leo Februari 14,2020 katika makaburi ya Magomeni Mwinyimkuu jijini Dar es Salaam ambapo wakati wa mazishi hayo , Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Rais mstaafu Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais mstaafu Mohamed Ghalib...

 

10 years ago

Michuzi

MAMIA WAAGA MWILI WA DK.EMMANUEL MAKAIDI VIWANJA VYA KARIMJEE DAR ES SALAAM LEO

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kupitia mwamvuli wa Ukawa, Mhe Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa umoja huo, Dk. Emmanuel Makaidi wakati wa ibada ya kuuaga iliyofanyika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam leo mchana. Katika ibada hiyo viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa na serikali walihudhuria.Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye ibada hiyo.Wananchi wakiwa wamejipanga foleni wakati wakienda kutoa...

 

11 years ago

Michuzi

MAMIA WAMZIKA MEJA MSTAAFU SAMWEL ISAAC CHEKINGO KWENYE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR

DSC_0140 DSC_0143 Marafiki wa karibu wa familia ya marehemu wakiwa wamesimama kuupoke mwili wa marehemu Meja Mstaafu Isaac Chekingo ulipowasili nyumbani kwake Kinondoni jijini Dar mwishoni mwa Juma. DSC_0047 Mtoto mkubwa wa marehemu (mwenye koti la suti jeusi) akijadiliana jambo na baadhi ya wanakamati wa msiba ulioongozwa na Afande Thomas Ndonde wa JWTZ. DSC_0041 Baadhi ya waombolezaji wakitoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu Meja Mstaafu Samwel Isaac Chekingo. DSC_0069 Mtoto mkubwa wa marehemu Samson Samwel Chekingo...

 

11 years ago

GPL

MAMIA WAMZIKA MEJA MSTAAFU SAMWEL ISAAC CHEKINGO KWENYE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR‏

Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakibeba mwili wa marehemu Meja Mstaafu Samwel Isaac Chekingo mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Kinondoni kwa ajili ya ibada maalum. Marafiki wa karibu wa familia ya marehemu wakiwa wamesimama kuupoke mwili wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani