Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) yakamilisha kituo cha kupokea na kutuma mawasiliano ya Ndege

Mhandishi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bi. Valentine Kayombo akiwaeleza waandishi wa Habari(Hawapo pichani) faida zitakazopatikana kutokana na kukamilika kwa Kituo hicho ikiwamo kuongeza ufanisi wa utoaji huduma za uongozaji ndege, wakati wa Mkutano Uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) leo Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Afisa Habari wa Mamlaka Hiyo Bi. Bestina Magutu.  Inspeka Mwandamizi Idara ya Udhibiti Usalama wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imekamilisha kituo cha kupokea na kutuma mawasiliano ya Ndege

1

Afisa Habari wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bi. Bestina Magutu akiwaeleza waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu kukamilika kwa maboresho ya kituo cha Mawasiliano ya Radio kwa ajili ya usafiri wa anga kilichopo Mnyusi mkoani Tanga, kilichojengwa na kampuni ya JATRON ya Norway, wakati wa Mkutano Uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mhandisi Mkuu toka Mamlaka Hiyo Bi. Valentine Kayombo.

Frank Mvungi-Maelezo

Mamlaka ya...

 

11 years ago

Michuzi

MAMLKAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) NA MAMLAKA YAUSAFIRI WA ANGA NCHINI CHINA (CAAC) WASAINI MKATBA WA USHIRIKIANO WA NDEGE ZINAZOTENGENEZWA CHINA KUTUA KATIKA ANGA LA TANZANIA

   Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Fadhili  Manongi  na  Mkurugenzi Msaidizi wa  Mamlaka ya Usafiri wa  Anga wa China (CAAC)Li Jian  wapili kutoka (kulia) wakisaini mkataba wa  ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo  Ndege zinazotengenezwa nchini China  zitaruhusiwa  kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa jijinia Dar es Salaam, utawawezesha   Mamlaka hiyo hapa nchini  kuweza  kujenga  kwa wataalam kuweza kudhibiti Ubora wa Ndege...

 

11 years ago

Michuzi

MAMLKAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) NA MAMLAKA YAUSAFIRI WA ANGA NCHINI CHINA (CAAC) WASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA NDEGE ZINAZOTENGENEZWA CHINA KUTUA KATIKA ANGA LA TANZANIA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Fadhili Manongi na Mkurugenzi Msaidizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga wa China (CAAC)Li Jian wapili kutoka (kulia) wakisaini mkataba wa ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo Ndege zinazotengenezwa nchini China zitaruhusiwa kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa jijinia Dar es Salaam, utawawezesha Mamlaka hiyo hapa nchini kuweza kujenga kwa wataalam kuweza kudhibiti Ubora wa Ndege hizo...

 

11 years ago

GPL

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA( TCAA) WATOA MSAADA WA VYAKULA MBALIMBALI KWA WATOTO YATIMA WANAOLELEA KATIKA KITUO CHA NEW LIFE ORPHANS HOME CHA KIGOGO JIJINI DAR ES SALAAM

Afisa habari wa Mamlaka ya  Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Ally Changwila  akiwakabidhi  msaada wa madaftari Rahma Seif na Yusra Yahaya  ambao ni watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha New Life Orphans Home kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam. Vyakula mbalimbali vilitolewa ikiwemo mchele na Maharage.
Afisa habari wa Mamlaka ya  Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Ally Changwila  (kushoto)...

 

10 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) WALIVYOADHIMISHA WIKI YA MAZINGIRA

Baadhi ya wafanyakazi wa mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)wakipanda mti ofsini kwao Banana Ukonga jijini Dar es Salaam, wakati wa maadhimisho ya wiki ya Mazingira iliyofanyika hivi karibuni kitaifa mkoani Tanga.Makamu wa rais Mohammed Ghalib Bilal akikaribishwa na Katibu Mkuu wa wizara ya uchukuzi Dk. Shaban Mwinjaka wakati alipotembelea banda TCAA wakati wa maadhimisho ya wiki ya mazingira yaliyofanyika hivi karibuni mkoani Tanga.Wanafunizi wa shule za msingi mbalimbali mkoani...

 

10 years ago

GPL

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANAGA TANZANIA( TCAA) WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KWA KITUO CHA KULEA YATIMA

Mshauri wa Kituo cha kule watoto yatima wanaoishi katika mazingira magumu  cha New Hope family   Maiko Lugendo ,( kulia) akimuonyesha  Afisa habari wa Mamka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA) Ali Changwila wakati walipokwenda kutoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo vyakula kwa ajili ya kusherehekea mwaka mpya  kwenye  kituo hicho kilichopo  Mwasonga  Kata ya Kisarawe 2  Kigamboni  jijini Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania TCAA, Watoa Elimu ya Anga Nane Nane Dodoma

Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Dodoma waliohudhuria katika maonesho ya Nane Nane Kanda ya Kati yanayofanyika mkoa huo wakikabidhiwa vipeperushi na Afisa Utawala wa Baraza la Ushauri wa Watumiaji wa Huduma ya Usafiri wa Anga Tanzania,Catherine Monarya, wakati walipotembelea banda la TCAA. Fundi wa mitambo ya Kuongozea ndege wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles Mkiramweni akiwaelezea wanafunzi wa shule ya sekondari ya Lukundo ya mjini Dodoma Redio ya kuongozea ndege...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wakutana na Wahariri wa vyombo vya habari Jijini Dar

01

Afisa  habari wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bestina Magutu( kulia)akiwa tambulisha  Wakurugenzi wa Mamlaka hiyo kwa wahariri wa vyombo vya Habari nchini  katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam.ikiwa ni mahususi kwa wahariri vyombo mbalimbali nchini.

004

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Fadhili Manongi  akifafanua jambo  kwa wahariri wa vyombo vya habari nchini (hawapo pichani) juu ya Kanuni na taratibu za Mamlaka...

 

11 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA TCAA YATIA FOLA KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Wanafunzi wa shule ya sekondari Mnazi Mmoja wakiangalia moja ya mfano wa ndege wakati walipotembelea katika banda la Mamalaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA, Katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Afisa Utwala Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA,Catherine Morarya akiwaonyesha Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mnazi Mmoja ya jijini Dar es Salaam redio ya upepo inayotumika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani