Man United kumsajili Matteo Darmian
Kocha wa kilabu ya Manchester United Louis Van Gaal amethibitisha kuwa beki wa kilabu ya Torino Matteo Darmian atafanyiwa ukaguzi wa matibabu kabla ya kuhamia kilabu hiyo kwa pauni milioni 12.9.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili03 Jul
Fenerbahce kumsajili Nani wa Man United
Mchezaji wa klabu ya Manchester United Nani anatarajiwa kufanyiwa ukaguzi wa matibabu katika klabu ya Uturuki ya Fenerbahce
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/g7CYaJh1SvJqYUtyA7JYhlRhIjG*4q*rXedF8iOZGi1c9cHPLS-u3HSCKXvjrjePwXu36R9FH2THnPpJn9Y9ehEjiY3Np9g2/4ebe30b5bcffc449f12c8aa6bb2762ce_L.jpg?width=650)
MANCHESTER UNITED KUMSAJILI BEKI KITASA DALEY BLIND WA AJAX
Mchezaji nyota wa kimataifa wa Holland na Ajax, Daley Blind. MANCHESTER UNITED imekubali kulipa dau la pauni milioni 14.2 iliyohitajiwa na Ajax ili kumsajili nyota wa kimataifa wa Holland Daley Blind. Kilichobakia sasa kwa Blind mwenye umri wa miaka 24 ni kukubaliana na United kuhusu maslahi yake binafsi na kwenda kufanya vipimo vya afya. United inaamini mchezaji huyo mwenye uwezo wa kucheza kama beki wa kushoto, beki wa kati...
10 years ago
BBCSwahili30 Aug
Man U kumsajili beki Daley Blind
Manchester United imekubaliana na kilabu ya Uholanzi Ajax kumnunua mlinzi Daley Blind.
9 years ago
BBCSwahili29 Oct
Liverpool,Man City zashinda Man United nje
Kocha mpya wa Liverpool Jurgen Klopp,ameandikisha ushindi wake wa kwanza,huku Man United ikiambulia kichapo mikononi mwa Middlesbrough
9 years ago
TheCitizen28 Sep
Man City slip allows Man United to claim summit
Manchester United exploited Manchester City’s 4-1 defeat at Tottenham Hotspur by beating Sunderland 3-0 on Saturday to replace their rivals at the top of the Premier League table.
10 years ago
BBCSwahili03 Feb
FA: Man United kuivaa Cambridge United
Manchester United itashuka dimbani kuikabili timu ya Cambridge United katika mchezo wa marudio kombe la FA.
9 years ago
BBCSwahili16 Sep
UEFA : Man United, Man City zachapwa
Timu za Uingereza za Man United na Man City zimeanza vibaya michuano ya kombe la klabu bigwa barani Ulaya
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania