MANCHESTER UNITED KUMSAJILI BEKI KITASA DALEY BLIND WA AJAX
![](http://api.ning.com:80/files/g7CYaJh1SvJqYUtyA7JYhlRhIjG*4q*rXedF8iOZGi1c9cHPLS-u3HSCKXvjrjePwXu36R9FH2THnPpJn9Y9ehEjiY3Np9g2/4ebe30b5bcffc449f12c8aa6bb2762ce_L.jpg?width=650)
Mchezaji nyota wa kimataifa wa Holland na Ajax, Daley Blind. MANCHESTER UNITED imekubali kulipa dau la pauni milioni 14.2 iliyohitajiwa na Ajax ili kumsajili nyota wa kimataifa wa Holland Daley Blind. Kilichobakia sasa kwa Blind mwenye umri wa miaka 24 ni kukubaliana na United kuhusu maslahi yake binafsi na kwenda kufanya vipimo vya afya. United inaamini mchezaji huyo mwenye uwezo wa kucheza kama beki wa kushoto, beki wa kati...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili30 Aug
Man U kumsajili beki Daley Blind
5 years ago
The Busby Babe09 Mar
Manchester United 2-0 Manchester City: Martial and McTominay make Manchester Red
9 years ago
Dewji Blog28 Dec
Neymar athibitisha Manchester City kutaka kumsajili
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Staa wa Brazil na klabu ya Barcelona, Neymar (pichani) amethibitisha kuwa anafahamu kwa Manchester City inahitaji saini yake ili ajiunge na klabu hiyo ya nchini Wingereza.
Neymar ambaye kwa sasa yupo katika harakati za kufanya mazungumzo na klabu yake ya Barcelona kuhusu kuongeza mkataba alisema kuwa Manchester City imekuwa ikionyesha nia ya kutaka kumsajili hasa katika kipindi hiki ambacho haifahamiki kama ataendelea kusalia Barcelona au atageuza upepo na...
10 years ago
BBCSwahili03 Jul
Fenerbahce kumsajili Nani wa Man United
10 years ago
BBCSwahili10 Jul
Man United kumsajili Matteo Darmian
5 years ago
The Peoples Person09 Mar
Manchester United fans delighted with Bruno Fernandes' performance vs Manchester City
9 years ago
Africanjam.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-P9Tz2YxANEk/VlmqR7G_IJI/AAAAAAAAEBE/Y80_RJTHpEQ/s72-c/pep-guardiola-1423056577335.jpg)
PEP GUARDIOLA'S NEXT CLUB: IS IT MANCHESTER UNITED OR MANCHESTER CITY !?
![](http://3.bp.blogspot.com/-P9Tz2YxANEk/VlmqR7G_IJI/AAAAAAAAEBE/Y80_RJTHpEQ/s1600/pep-guardiola-1423056577335.jpg)
The report states that Bayern Munich chief Karl-Heinz Rummenigge will announce...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v6wcuBb1nvv1KaHNKxZxH4JKDGKvxtzmZBoHZLdHlYkju3kHlyR4n2vsGIw-9OoY*8AC0tttq0789XvuCvRMmMF4vD*cw8au/manu.jpg?width=650)
MANCHESTER UNITED ILIVYOPELEKA KILIO KWA MANCHESTER CITY
5 years ago
Manchester Evening News08 Mar
How Man City should line up vs Manchester United in Manchester derby